Search results

  1. allan_gobe_tz

    SoC03 Nchi huru

    Uwajibikaji ni neno pana hasa pale unapoangalia upande wa utendaji wake Kwa haki madhubuti kwani serikali italaumiwa hasa pale itakapokuwa na mfumo mbovu wa utawala Kwa wananchi wake, mfano; ajira Kwa vijana hutangazwa nafasi zile za kawaida sector ndogo ndogo lakini sector kubwa kama Uchukuzi...
  2. allan_gobe_tz

    SoC03 Utawala Bora Kwa Elimu

    Yapata kama miaka mitano hapo nyuma baada ya Kijana mmoja jasiri, mkakamavu, shupavu na mwenye bidii katika maisha ya Kila siku aliyejulikana Kwa jina la Kunze kupitia changamoto ya ubaguzi wa kitabaka kwani alikuwa Mwenyeji wa Bara. kijana huyo baada ya kufikia hatua ya masomo ya elimu ya juu...
  3. allan_gobe_tz

    SoC03 Kijiji kilichoumbwa usiku

    Hapo mwanzo kipindi bado nakaa kijijini nilitamani sana siku nikimaliza elimu yangu ya sekondary basi nikasomee elimu ya juu katika jiji la Dar es Salaam kwani mama yangu Rebeka Kilomba, alinisisitiza nisome Sana na kwa bidii. Kweli sikukata tamaa katka masomo yangu ya sekondary. Mungu si...
Back
Top Bottom