Search results

  1. Jonii Mtoaroho

    Kulikoni Kepteni Komba ?

    mbona picha inajieleza vizuri tu.
  2. Jonii Mtoaroho

    National ID vs vyeti feki

    Naomba kueleweshwa ule mradi wa vitambulisho vya utaifa utafanyaje kazi? Je kutakuwa na central computerized database? na kama utakuwa hivyo utafanyaje kazi wakati kuna wazalendo kibao wanaotumia eidha vyeti vya magumash au majina ya watu wengine?. Ninachojua km taarifa za watu wawili...
  3. Jonii Mtoaroho

    Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

    Huyu ingefaa apumzishwe kitambo TU.
  4. Jonii Mtoaroho

    Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

    :juggle:
  5. Jonii Mtoaroho

    Teknolojia ya digitali itabadilisha nini

    Zaidi ya asilimia 90 ya tv zetu ni za dizaini hii (Penye nyekundu)
  6. Jonii Mtoaroho

    Teknolojia ya digitali itabadilisha nini

    :A S 465:Hii kitu inaelezewa kwa maelezo mepesi na kutufanya tuamini ni kitu rahisi kisicho na gharama. Baadhi tunaweza kukubaliana na maelezo hayo kwa sababu ni kitu kigeni na bado mfumo wenyewe haujaanza kufanya kazi. Walio wengi hatuelewi the whole set up. Ila inavoonekana kwa namna yoyote...
  7. Jonii Mtoaroho

    Teknolojia ya digitali itabadilisha nini

    Ndo maana yake! Kila kitu digito antena zote zitatupwa chooni.....anza kusaka mawe ya dikoda na ujipange kuilpia kila mwez
  8. Jonii Mtoaroho

    Masoud Masoud wa TBC Taifa mbona yuko hivi?

    Kichwa cha habari na habari yenyew tafauti!
  9. Jonii Mtoaroho

    Jamani Oilcom ni wezi! wezi! wezi wa mafuta kabisa

    hiyo ishu inabidi watu wa vipimo watoke maofisini wawasupriz jamaa kwa visit ndo watawabaini.
Back
Top Bottom