Search results

  1. KATATANAMA

    Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

    Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa za kina kupitia: www.fgbfchurch.org Pia kwa kupitia youtube unaweza kutazama vipindi tofauti...
  2. KATATANAMA

    Uteuzi wa wabunge wapya

    Kikwete ameteua wabunge watatu (3) kwa mamlaka aliyopewa kama rais ambao ni: 1. Profesa Sospeter Muhongo. 2. Bi. Janet Mbene na 3. James Mbatia. Source: Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
  3. KATATANAMA

    Deni la taifa

    Salaam. Jana nilisikitishwa na taarifa iliyotolewa juu ya kuongezeka kwa deni la Taifa kwa asilimia thelathini na nane [38%] toka mwaka wa fedha 2009/2010 hadi 2011/2012. Je kwa kasi hii ya kukopa tumefanya nini cha maana? Naomba kuwasilisha. Source: Taarifa ya habari ya Radio One.
  4. KATATANAMA

    Wazo mbadala

    Salaaam. Hivi kwanini Serikali yetu haiwatumii wanafunzi wa VETA kutengeneza Madawati na samani nyingine za shule zetu mpaka wadogo zetu wanakaa chini? Kweli hata hili tunahitaji wahisani?
Back
Top Bottom