Search results

  1. KATATANAMA

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Haki ya msingi, andamaneni mwoneshe hisia zenu.
  2. KATATANAMA

    Afisa wa Takukuru ajiua kwa kujipiga risasi

    Amekosea sana, angempiga risasi jamaa wa Magogoni kabla ya kujiua.
  3. KATATANAMA

    Tanzania: Bei ya mafuta yapanda!

    Hata kama unakula nyasi gharama ya kuzisafirisha mpaka zikufikie itapanda, kwahiyo sote tutaguswa tu.
  4. KATATANAMA

    Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

    kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa matumizi ya siraha za moto kumpiga unayepaswa kumlinda hiyo ndo akili gani?
  5. KATATANAMA

    Saidi Mwema aongoza tume ya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha Muandishi wa chanel ten.

    kwani aliyeua ni CDM au askari? Tumia kichwa chako kufikiri.
  6. KATATANAMA

    Jukwaa la wahariri wagomea kuandika habari zote za jeshi la polisi

    kilicho maanishwa ni habari zile zinazoletwa na jeshi la Polisi ili kuelezea mema yao kwa jamii.
  7. KATATANAMA

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Sioni kama kuna uhalali wa kutumia siraha za moto kudhibiti maandamano ya wananchi wasio na siraha. Mbona wanao hujumu rasirimali zetu hawaguswi?
  8. KATATANAMA

    Majina ya vituo vya kuchimba dawa kwa abiria wawapo safarini.

    Ujinga mtupu. Miundo mbinu ya mjini imewashinda sembuse ya porini.
  9. KATATANAMA

    Sijahesabiwa Bado na Deadline Inakaribia

    Kama hujahesabiwa nenda ofisi za serikali ya mtaa utahesabiwa huko na huo ndiyo utaratibu uliotolewa kwa wale ambao hawatafikiwa.
  10. KATATANAMA

    Gazeti la Sauti Huru na Chadema Tena

    Afadhali umemwona. Alichokiandika kinamwonesha yeye ni miongoni mwa wagomea sensa.
  11. KATATANAMA

    Principle wa IAA (MONYO) apigwa chini na Bwana ATHANAS CHALE kwenye kesi kati yao wawili

    Mshirikina sana huyo Principal wa kugushi bora hata apigwe chini.
  12. KATATANAMA

    Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

    Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa za kina kupitia: www.fgbfchurch.org Pia kwa kupitia youtube unaweza kutazama vipindi tofauti...
  13. KATATANAMA

    Zanzibar na dhana ya 'mdai chake hupewa'

    SASA KAMA MNASINGIZIA BAR NA MAKANISA. Nani anakunywa hizo pombe? Kama siyo ninyi wenyewe? Vinginevyo bar sizingefungwa kwa kukosa wateja? Acheni visingizio visivyo na mashiko tumieni hoja za maana kudai haki zenu. Mimi pia siungi mkono muungano kwa kuwa sioni faida zake. Mimi ni mtanganyika...
  14. KATATANAMA

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Bora muungano ufe tu maana sioni faida yake. Zanzibari wabaguzi.
  15. KATATANAMA

    Kipi kianze kura ya muungano au katiba mpya?

    Binafsi muungano sihuitaji kwasababu sioni faida yake na wanaojua faida zake hawataki kuzisema jambo linalonipa shaka kama kweli una manufaa kwa wananchi wa kawaida.
  16. KATATANAMA

    17 richest in Tanzania

    Reliable source please!!!
  17. KATATANAMA

    Hazina hoi

    Natamani hata hela ya kulipa mishahara isiwepo.
  18. KATATANAMA

    Kigoda aingia kwa mkwara: Charles Ekerege wa TBS out!

    kwa serikali hii hii ya Kikwete ni jambo lisilowezekana.
  19. KATATANAMA

    Inflation ya hatari, Mchele kilo 2800?

    Maisha magumu ndo yatakayo badilisha fikra za watu hili mwaka 2015 tutakapopata fursa ya kupiga kura watu wajue umuhimu wa kupiga kura na thamani ya kura zao.
  20. KATATANAMA

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    Bora vita inayolinda utu wa mwanadamu kuliko amani inayompumbaza. Woga wako umasikini wako.
Back
Top Bottom