Search results

  1. Jonogomero

    Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

    # Hapana mkuu Gwalugano halishabihiani na kauli yako
  2. Jonogomero

    Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

    ....Anyandwile Ambilikile Amulike Andimile Asumwisye ...Lotondo
  3. Jonogomero

    Answers

    mi hapo sijaelewa kitu sijui kwa sababu jamaa kaandika kwa kidhungu!!!!!!
  4. Jonogomero

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    We utakuwa mmbulu
  5. Jonogomero

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Haha haha ARV asante kwa kunikumbusha, kumbe tunatakiwa kutoa zawadi, tatizo linakuja siku hizi watu zawadi wanatoa vikombe vijiko, wamejitahiiidi saaaaaana basi wanakupa oven, nani akupe kiwanja!!!!
  6. Jonogomero

    Hapo zamani

    Haha haha haha tulikuwa hatufeli ila tulikuwa hatuchaguliwi maana kufaulu kulikuwa ni kuchaguliwa
  7. Jonogomero

    Uliwaza nini???

    Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini??? Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini??? Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini??? Kupanda daladala wakati unajua huna nauli..... Uliwaza nini??? Kuwanunulia bia na kujifanya unazo wakati...
  8. Jonogomero

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    Haha THK we lazima wa kukajha wewe
  9. Jonogomero

    Mnisameheee

    We ni mlevi mbisameheeeee
  10. Jonogomero

    Mzizi mkavu

    Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu akuzidishie hekima na busara na maisha marefu ili tuendelee kupata msaada wako. Aksante
  11. Jonogomero

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    Hapo umeshangaa thread kimasaai arifu
  12. Jonogomero

    Mnisameheee

    Hiyo ingekuwa noma maana majina na sura ni tofauti' ungeona post ya mshua ilivopumba sijui kama ungemuheshimu aisee
  13. Jonogomero

    Si riziki

    Haha haha mtoto keshakuwa kijintox kuchney tigo
  14. Jonogomero

    maswali ya kijinga, majibu ya kukatisha tamaa

    S. Nina njaa mwana J. Nani kakukataza kula
  15. Jonogomero

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    Uwiiiiiii etaaaatah! Hiyo yetu sie wanyakyusa
  16. Jonogomero

    Padri akifungisha ndoa kanisani

    Kama huna kichekesho bora usome vya wenzio arifu
  17. Jonogomero

    Hapo zamani

    Hapo zamani kwenda na mfuko wa rambo shuleni ilikuwa kawaida Hapo zamani kulamba makamasi ilikuwa kawaida saaaana Hapo zamani kuokota hela ilikuwa kawaida sana, siku hizi hata hela ya bandia kuokota ni kazi kweli kweli Hapo zamani kusingizia unaumwa ili usiende shule ilikuwa kawaida...
  18. Jonogomero

    Mnisameheee

    hha haha haha haha tumekusameeeeeeeeeeeeeee, ajari ajarii
Back
Top Bottom