Search results

  1. N

    Waraka wa kwanza wa Mbowe kwa Kikwete huu hapa

    wakuu waraka huu nilipata bahati ya kuusoma kipindi kile cha RAI NGUVU YA HOJA. nimeurudia tena hapa naukuta bado upo na ladha ukakasi wake ule ule kama ile umeandikwa leo.nakumbuka pia stanley kamana R.I.P alivyochambua utandawazi akimkumbusha BWM kwamba tumeuvulia nguo utandawazi ni lazima...
  2. N

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    sitaki kuamini kuwa benson hajui kazi malengo ya chama chochote cha siasa. vinginevyo nabaki kuamini kuwa analinda ugali wake. Tendwa naye eti anasema CHADEMA wasichukue fedha za ruzuku,acha niamini kuwa kweli Tendwa kazeeka anastahili kupumzika kwa heshima japo hii kidogo alobakiwa nayo...
  3. N

    Bongo kuliko uijuavyo ya Ubungo waachie vigogo...

    kweli serikali yetu ni sikivu.basi likitoka boko maana yake ni bagamoyo msata arusha. je mimi wa mailimoja kibaha siku naenda arusha maana yake nikalale tegeta kama sio bunju kabisa. si ndo mnamanisha hiyo au sijelew vizuri?????
  4. N

    Siri ya Mwenge wa Uhuru

    hivi pale makumbusho ya taifa hakuna nafasi ya kuuegesha pale na ubakie kuwa ni kumbu kumbu tuu????autakaye kuuoma aingie pale.
  5. N

    Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

    Mimi nadhani tatizo hasa linatokana na kile kinachoitwa general order za polisi zinazomtaka askari kutii amri bila kuhoji uhaklali au ubatili wa amri. mfimo huu ambao umeridhiwa toka kwa mwingereza umepitwa na wakati.mfumo mbovu unaogandamiza uhuru na haki za kiraia kwenye nchi huru. bila...
  6. N

    Kikwete ashusha bei vifaa vya ujenzi

    mkuu nipo kongowe kibaha pwani simenti 15000 nondo 10 mm 17000!! yeye na aseme kama ni bei ya kiwanda ya leo.then ni lipi la kulipigia vigelele si ndo yeye alotufikisha huko??????
  7. N

    Hii kitu haifichiki bana hata uweke nini..??

    NO huyo sio mdhungu ni maarabu ya mzenga. nyumba bila msalani iweje iwe nyumba kamiliiiiiii????????
  8. N

    Kikao cha wana jimbo la Iramba magharibi

    mkuu mpaka hapo tu tayari mwigulu hatashiriki maana yeye anaamini na anawaaminisha wapiga kurawake kuwa ccm na serikali yake imewaletea maendeleo. kama dondoo zakikao ndo hizo basi mwigulu hamtampata na mkimpata mjue atawavuruga hadi msijadili mlokusudia. VINGINEVYO WAZO NI ZURI NAMI NAWATAKIA...
  9. N

    Nimegundua kumbe KIBONDE hana matatizo na anapendwa

    hali ya hewa hapa ubungo kuna mvua ya kiasi. imenenwa.........MWEREVU AKIJA HAWEZIJUA MPUMBAVU NI YUPI. tafadhali msiikaribie BAN maana naiona ipo njia imejitundika yasubiri kumdondokea mtu oooooooh!!!!!!!!!!! Mimi sipo
  10. N

    JENERALI ULIMWENU: CCM sasa yaingiwa woga, yaanzisha utawala wa kikatili kwa wananchi wake

    na kama wasemakweli wote ni wanachama wa CHADEMA BASI CHADEMA INA WANACHAMA MAKINI MNO NA S SITA INABIDI AJIPANGE UPYA KWENYE MAELEZO YAKE YA AWALI KWELI ITABAKIA KUEWA KWELI HATA KAMA HUIPENDI LEO KESHO BADO ITAENDELEA KUWA KWELI ILIYO KWELI.
  11. N

    Mshike huyooooo, jamaa anazikimbia

    nakubali mkuu. mie sina neno. na udumu urafiki wenu na wengine tuuige.kila la kheri na baraka tele za ALLAH
  12. N

    Mshike huyooooo, jamaa anazikimbia

    nashindwa kuelewa popote anapopost MBUZI MZEE MZIZI MKAVU huwa wa kwanza ku like.je ni bahati njema au??? ni swali.tu!.............
  13. N

    Pete ya Ndoa na kidole maalum

    pamoia na maelezo na utetezi wa hii kitu binasi sioni weledi wa kuchagua mkono na kidole. tunaaminishwa NDOA NI BARAKA YA MUNGU ALOKIFUNGA MUNGU HAKUNA WA KUKITENGANISHA. Nakubaliana mia kwa mia juu ya hoja hiyo.kinachonitanza ni KWANINI IWE MKONO WA KUSHOTO UPEWE HADHI HIYO???KWANI KAZI...
  14. N

    Hatimaye Mahakama Kuu yaamuru DOWANS walipwe

    NAPENDA KULIARIFU BUNGAE LAKO TUKUFU SERIKALI IMEPATA USHAURI WA KUVUNJA MKATABA HUU TOKA KWA KAMPUNI YA KISHERIA ILIYOBOBEA KWENYE MIKATABA YA KIMATAIFA. Hiyo ni kauli nzito toka mh waziri mkuu akilihakikishia bunge na taifa kwa ujumla. REX ndo iliishauri serikali kuvunja mkataba wakalipwa...
  15. N

    Moto mkubwa kiwanda cha sigara

    ayaaaa yaani bajeti ya nchi imeharibika.serikali itapata wapi pesa na walipa kodi wakubwa ndo hawatazalisha tena.........
  16. N

    Smartphone app capable of HIV testing

    dose ya kawaida kulingana na ugumu wa maisha ni asubuhi mchana na usiku. aliyepewa dose mchana je usiku nikimpima hiyo smaterphone yenu itagundua hivyo virusi au ndo kuongopewa maana hawaoni tukipungua.
Back
Top Bottom