Search results

  1. T

    Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    pole. migogoro ya aina hii iko nyingi. mkalishe chini tena kwa mara ya mwisho. kichepuko hiyo
  2. T

    Atafia mikononi mwangu

    Kwanini umeweke jukwaa la mapenzi
  3. T

    Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

    Babu hakika yupo juu
  4. T

    Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Ndugu ya Lengeju siwezi kuwa muathirika wa kutoajiri hapo. Nina kazi nzuri tena kwenye shirika kubwa la kimataifa na nina miaka chache kustaafu na maisha mazuri. Rudi changia mada au wameshakupa mshahara?Halafu una dalili kwamba unakuja ID tofauti.
  5. T

    Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Simba Mangu, acha bangi zako na wewe nimesema siyo mimi MANYERERE SOMA GAZETI LA JAMHURI LA TAR.11 MACHI 2014.ACHA KUKURUPUKA KAMA NGIRI. ISITOSHE SIJATUMA MIMI WAKAIBE
  6. T

    Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Safi mhasibu wa kaghasheki. wakale zile walizoiba wamasai wakiwa wanakufa njaa.
  7. T

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Fataki mkubwa wewe. Peleka bangi zako huko. kumbe ndiyo maana zero nyingi nchi hii. Kazi kugegedana na wanafunzi na jela utakwenda wewe subiri.
  8. T

    Binti huyu kituko

    Picha ya sehemu hizo nyeti tafadhali. Atakuwa FISI MADOA/SPOTTED HYAENA.
  9. T

    Kumbe walicopy hapa

    Arushaone wewe jembe. Nimekukubali.
  10. T

    Kwa wanaotumia au waliotumiaTecno P5

    Hicho kirusi/virus mkuu.tecno nimeikubali.iscan simu yako mkuu.
  11. T

    Kumbe walicopy hapa

    Uko sawa mkuu ila inaonyesha wewe kilaza wa ndege huyo si tahi/vulture bali ni mwewe/eagle.
  12. T

    Ajali mbaya ya BASI, LORI, NOAH, HIACE na PIKIPIKI.

    Poleni ndugu wa marehemu na ndugu wa NYUMBU a.k.a wahifadhi
  13. T

    Mgogoro wa kikabila Loliondo, nahitaji kufahamu chanzo chake.

    Napita tuuu!!subiri wamasai na wasonjo wakupe majibu.
  14. T

    Nimeumizwa sana na kifo cha wanajeshi wetu kule Sudan

    Hakika nimeumia sana sana kutokana na msiba huu mzito. Tangu nimepata taarifa hiyo nimeshindwa kurejea katika hali yangu ya kawaida kabisa. Hali kama hii ilishanitokea miaka michache iliyopita baada ya kufiwa na baba mzazi lakini haikunimiza kiasi hiki. Kila ninapokumbuka au nikisikia watu...
  15. T

    Mbunge na Madiwani kujiuzulu Ngorongoro

    Manyerere asante kwa taarifa zako, nimeanza kufunguka kuhusu Loliondo, lakini naomba uweke kitu kimoja wazi, ni NGOs zipi hizo zinamilikiwa na wakenya? Kama kweli zipo ni hatari.Asante kwa ushauri pia, ni kweli tujibizane kwa hoja tuepuke jazba na matuzi.
  16. T

    Mbunge na Madiwani kujiuzulu Ngorongoro

    Kwa yoyote mwenye updates atupie hapa, ni kuhusu kile kilichoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba mbuge na madiwani watajiuzu endepo serikali itatoa tamko la kutenga eneo ya ardhi ya vijiji na kufanya pori tengefu.
  17. T

    MSAADA JAMAN KORODAN ZOTE MBILI ZIMEVIMBA ZINAUMA,PLEAS pleass

    Ni ugonjwa unafahamika kitaalam kama "Epidydimitis"unasababishwa na bacteria.unatibika wahi hosp.kaka. Nakuombea upone haraka
Back
Top Bottom