Search results

  1. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    vijana pesa hawana wakija humu mtandaoni ni kulia lia tu hawataki kutafuta pesa sisi ngoja tuendelee kuwasaidia majukumu kwa wapenzi wao [emoji16][emoji16]
  2. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    kijana sio upuuzi wewe utakuwa na changamoto moja wapo kati ya hizi itakuwa pesa huna au nguvu hamna kwaiyo ukikutana na mada kama hizi unaumia sana moyo
  3. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    huna hela wewe ukiwa na pesa huwezi kuongea utumbo huu
  4. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    tafuta hela kijana sisi ma sponsor tutaendelea kuwagongea mpaka akili ziwakae sawa
  5. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    poa mkuu hiyo ni life style yako ulio chagua kuishi enjoy
  6. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    mkuu wanawake hawataki kelele au maneno mengi kibunda ndo solution kama mpka saiv huelewi hili basi wewe bado sana unasafari ndefu
  7. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    hapo kwenye ukitaka dem humkosi lazima account number ihusike mzee vinginevyo huo ni uongo au labda uwe unakula madem cheap daraja la chini kabisa
  8. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    haupati kile moyo unataka otherwise labda uwe bado kijana mdogo ukiwa mkubwa utakuja kuelewa haya
  9. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    mkuu huyu napiga mapema sana naenda nae zanzibar siku 3 tu!
  10. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    chukua hii pesa haikai kwa mtu mpumbavu! iwe ya kubet, uchawi, utapeli, wizi, ufisadi
  11. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    yani uwe na kibunda alafu usiwe na future uliona wapi mkuu? yani pesa imfate mtu asie na future?
  12. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    tafuta pesa kwa bidii sana pesa ndio solution ya tatizo lolote
  13. tRNA

    Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

    Hii ni pisi moja matata kweli kweli kwanza kujibu DM sio jambo rahisi sababu kama mnavyojua pisi kali instagram huwa hazijibu dm kirahisi rahisi sabab ya usumbufu wanaoupata kutoka kwa washkaji lakini ukiwa na kibunda kazi inakuwa nyepesi sana.
  14. tRNA

    Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    pole sana mkuu ni maumivu makubwa sometimes kuna wanawake huwa wanakuja kwenye maisha yetu unaweza sema ni malaika asee alafu ghafla wanapotea
Back
Top Bottom