Search results

  1. C

    Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    unaogopa wakati ulikuwa unatumiwa...stay tuned...mshahara wa dhambi ni mauti...umeanza kulia lia unaogopa sasa
  2. C

    Lema matatani tena, polisi wavamia studio

    njia panda..habari haina kichwa,kiuno wala miguu
  3. C

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    chadema ni chama cha magaidi na cha kibabe...limewashuka hilo..waombeni radhi watanzania na wanahabari kwa kuwatishia usalama wao
  4. C

    Mh.Mnyika hii si sawa

    tatizo ni kuwa kutotii amri halali na mamlaka zilizopo ni tatizo sana mkuu,hawajakataliwa kufanya maandamano bali wametakiwa kuahirisha kwa madai ya kiusalama..sasa kama wanaanza kubishana na mamlaka tutapata breaking newz kesho na magazeti yatauza sana ya jumapili...tuko pamoja sana mkuu ila...
  5. C

    Mh.Mnyika hii si sawa

    waache tu waandamane ilhali wamekatazwa halafu cha moto na mabomu ya tumboni yatawashukia hawa cdm hakika ni watovu sana wa nidhamu...
  6. C

    Membe atoa tamko juu ya kutekwa kwa Kibanda

    kazi ya cdm iliyoratibiwa kikamilifu na ALFRED LWAKATARE anaangushiwa jumna bovu MEMBE jamani..kweli siasa ni mchezo mchafu
  7. C

    Hoteli ya ghorofa 8 ipo Kariakoo inauzwa

    5.6Billions tshs kwa exchange rate ya tshs 1600/= haya bana
  8. C

    Nyumba inauzwa

    umeona hee...huna busara ndo maana umetukanwa..majibu yako ya kipuuzi yameanzia mbali sana..change ili uache kutukanwa
  9. C

    Nyumba inauzwa

    hahhaah...wewe inaonesha una njaa kali halafu umeanz akujifunza udalali baada ya kuona utapeli umekushinda mbweha mweusi wewe..
  10. C

    Nyumba inauzwa

    sijaelewa..nyumba ina "feremu nne" feremu ni nini?
  11. C

    Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

    hana akili hyo domond na hajitambui...ndo tatizo la hawa jamaa wa iman ya domond wanadhan ukijenga msikiti ndo utaiona pepo huko ni kujidanganya mapemaaa,kwa hiyo yeye ndo atakuwa sheikh wa huo msikiti...jamani wenzetu wanamiliki misikiti....ahahahahah...domoooooooooooo
  12. C

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    thanx JF najifunza mengi sana kila siku na ubongo wangu unazidi kupanuka..MUNGU awabariki sana GREAT THINKERS
  13. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mmhh nina mashaka kama kweli ww ni mwalimu..kama umeweka suala lako ktk jukwaa la picha hushindwi kuwaambia wanafunzi 3+4=126
  14. C

    Picha na matukio; msafara wa kinana watua ethiopia, ukienda china

    temboooo wanaogopa na kujuta kwanini MUNGU aliwaumba na pembe
  15. C

    Dogo wa miaka 8 na mke wake wa miaka 61 nchini Afrika Kusini

    MUNGU isaidie dunia hii
  16. C

    Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

    haya mr zero..na yeye ana hasira sana mana nasikia naye fom six alipiga kiduara a.k.a alizunguka round about a.k.a alipata zero huyo mwenye kiti wa chama....SAMAHANI LAKINI
  17. C

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Tumaini Makumira Dar-Es-Salaam Colage
  18. C

    Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

    kwani hamjui kama mzee wa upako ndo mrithi wa sheikh yahya hussein
Back
Top Bottom