Search results

  1. Rodcones

    AuDi A4 Garage

    Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu Nina audi a4 nisaidieni garage naweza kubadili transmission fluid yaani oil ya gearbox na service kwa ujumla Natanguliza Shukrani
  2. Rodcones

    Nissan premere

    Nauliza na kuomba ushauri Gari aina ya Nisaan premere inakuwa na usumbufu upi in terms of oil consumption na ubora wake kwa ujumla Je Vockswagen POLO ikoje kwa matumizi ya hapa kwetu misele ya mjini pia kuhusu mafuta Naomba nisishauriwe kuhusu TOYOTA.
  3. Rodcones

    Deal kubwa waheshimiwa million kadhaa hapa

    Kifaa hiki kinatafutwa wapi kitapatikana mwenye info ani pm donge nono kwa atakaye fanikisha ​ 50 BMG BARRETT SNIPER RIFLE risasi hizi 14.5×114mm cartridge.
  4. Rodcones

    Natafuta binti yeyote just for pleasure mengine baadae

    Hi Jamani mi natafuta binti just for pleasure labda mambo mengine baadae alie tayari ani pm tuwasiliane lakini asizidi 27years looking forward for ur response. Mimi niko wastani tu.
  5. Rodcones

    MIfeprex

    Nini maana ya mdudu huyo mifeprex Thank u all
  6. Rodcones

    Nyumba/chumba cha kupanga kinatafutwa

    Wakuu natafuta chumba cha kupanga katika maeneo ya k/koo, upanga, ilala au mabibo aliyo na taarifa anitaarifu kwa ku PM au e-mail yangu hapa hapa Waheshimiwa ni urgent kweli kweli. Hata kikiwa chumba kimoja sawa suala pawe na na choo au kiwe self container. msaada waheshimiwa.
  7. Rodcones

    Osama na ufisadi

    Katika Khali isiyo ya kawaida katika nchi yetu kuna hii kitu Ufisadi, Rushwa na mengineyo yanayo rudisha maendeleo nyuma, si kwamba nchi yetu ni maskini au watu ni maskini la hasha ila kuna watu wachache waliotujengea msingi mmbovu wa kutufanya sisi kuendelea kuitwa nchi maskini duniani, natoa...
Back
Top Bottom