Search results

  1. MeanMan

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Well said@Ssebo
  2. MeanMan

    Shirika la Reli Tanzania (TRL) badilikeni

    Safari imeahirishwa hadi kesho saa 2 usiku. Ilitarajiwa kuondoka saa 2 usiku huu. kuahirishwa masaa 24 bila taarifa ya awali sio mchezo!
  3. MeanMan

    Shirika la Reli Tanzania (TRL) badilikeni

    Leo TRL wameahirisha Safari ya garimoshi liendalo Kigoma na mwanza "kwa sababu zisizozuilika" sawa lakini je namba za simu za wasafiri watarajiwa mnazochukua wakati wa kukata tikiti nini matumizi yake? Nilitarajia ni wakati Kama huo ambapo Safari inaahirishwa!
  4. MeanMan

    Tahadhari kwa madereva wapya

    Shukrani.
  5. MeanMan

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Ndugu Ishmael nikuulize swali dogo tu kisha Majibu utajipa mwenyewe. Hivi hujui kuwa Islam ni neno la kiaarabu? Na zaburi au torati na hata injili havikuja kwa lugha hiyo? Think twice.
  6. MeanMan

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Hivi kwako wewe injili na biblia ni sawa sawa? Qur'an inatambua injili, zaburi na torati lakini sio biblia. Je vitabu hivyo vipo? Au kuna biblia ambayo imejaa maelezo ya waandishi na baadhi ya maneno yaliyo katika vitabu hivyo? Hivi injili halisi ya Yesu au Zaburi au Torati katika lugha yake ya...
  7. MeanMan

    Uwekaji wa picha za watoto kwenye mitandao ya kijamii

    Nakubaliana nawe kiongozi. Hatuwatendei haki Kabisaaa!!!
  8. MeanMan

    Aliyofanya AG wa Zanzibar ni Salaam Za Serikali ya Zanzibar Kuhusu Katiba Hii

    Yawezekana umekurupuka kaka. Tafakari na ua-update post yako.
  9. MeanMan

    Girlfriend wangu anaumwa ugonjwa wa kisukari na magonjwa mengine mengi

    Instinct. Kwa lugha nyepesi kabisa "hisia zako za ndani"
  10. MeanMan

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Nitashangaa mno wakibadili msimamo wao kwa jambo hilo hilo!! Loooh! Watakuwa wamekula matapishi yao.
  11. MeanMan

    Mkitoka fungeni account zenu jamani

    Labda dharura! Hujui siku ya kufa nyani miti................!!!!!!
  12. MeanMan

    Muuguzi adaiwa kuua mjamzito, mapacha

    Unafikiri sote tunaweza huko private mama?
  13. MeanMan

    Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

    Oohps!! Mi nilidhani ya kaisari apewe kaisari! aaah! ya kaisari kumbe leo hadi kwa Mungu? Looh!
  14. MeanMan

    Geita: Waombolezaji wapigwa mabomu na Polisi, waandishi wanyang'anywa kamera zao huko

    "...........kufukia dimbwi lililosababisha kifo cha mtoto huo ili kuficha ushahidi wa tukio hilo" Amani inahubiriwa kwa maneno sio kwa vitendo. Hata hivyo Mkuu ungefafanua vizuri chanzo cha kifo cha huyo mtoto.
  15. MeanMan

    Jaji aliyemhukumu kunyongwa Sadam Hussein naye anyongwa Iraq

    what goes around, comes around.
Back
Top Bottom