Search results

  1. Lussadam

    Nimemaliza kupiga plasta nimekuta nyufa

    Inatumika misumali ya inchi 6 badala ya nondo
  2. Lussadam

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Mwenyewe sheria ya bao la ugenini huijui. Yanga akifunga bao moja,Mamelodi atahitaji bao mbili na si tatu kama ulivyosema hapo juu.
  3. Lussadam

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sasa mbona uko hapa unaufuatilia hapa?
  4. Lussadam

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Halazimiki kuweka picha. Mtu yoyote asiyeamini hii stori ale kona. Sidhani kama kuna mtu kalazimishwa kuamini.
  5. Lussadam

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Mzee wa chai. Bila shaka umethibitisha kuwa hii haikuwa chai
  6. Lussadam

    Mtoto wa mwenye nyumba kanipenda

    Tumia mbinu za Harmoniza wa Konde Gang - Mnunulie Range Rover
  7. Lussadam

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Wamekutana pwagu na pwaguzi
  8. Lussadam

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Mzee wa Chai naona umeweka kambi hapa
  9. Lussadam

    Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Rudi kijijini Babu zako walikuwa wanafunika paipu tu walikuwa hawana maadili??
  10. Lussadam

    Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

    Maisha mengine lazima yasonge mbele. Kuna tatizo kupost ukifiwa? Anataarifu ndugu na jamaa. Unataka sema hata toilet asiende kisa amefiwa?!
  11. Lussadam

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    TD Jakes ana skendo balaa. Kuna kashfa zake za ushoga wake na P Diddy
  12. Lussadam

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    DSTV wanasitisha Emmanuel TV mwezi huu, January 17, 2024
  13. Lussadam

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Uchunguzi ulikuwa unaendelea. Na pengine jamaa halijafa,labda aliingia mitini kinamna
  14. Lussadam

    Mnazipendea nini hidden roof house?

    Nenda insta. Search Fundi Ujenzi Frank https://www.instagram.com/fundi_ujenzi__frenck?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==
Back
Top Bottom