Search results

  1. O

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    OMG....Sauti ya dhahabu... is no more. R.I.P Captain.
  2. O

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    ...Ni mambo ya aibu kwa aliyemteua. Bado kuna njia nyingi za kushughulikia watu wa namna hiyo ( kama wapo) na hapa hapakuwa mahali sahii kuzungumza mambo kama hayo.
  3. O

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Do! Poleni wote mlioguswa na ajali hii, marehemu wapumzike kwa amani.
  4. O

    Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

    ... I see kweli bado tuna safari ndefu, unabadili jina bila kubadili vipengele muhimu vinavyolalamikiwa na wadau, hapa unamdanganya nani? Hii ni kujidanganya tu, may be time will tell.
  5. O

    CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

    I see labda vizazi vyetu vya baadae vitakasirishwa na upuuzi huu na kufanya maamuzi.
  6. O

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    NHIF imekuwa bima ya Kisiasa sana, yaani hujuma, ubinafsi, ufisadi yote yapo kwenye mfuko huu. Kama ilivyo mifuko ya hifadhi ya jamii. Hapa tunajua mchawi ni nani.
  7. O

    Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    ......Utakuwa uliwahi kufa na kufufuka.... Na sasa unatoa ushuhuda.
  8. O

    Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Mazuri yake tuyaenzi kwa kuyaendeleza. Alipenda sana elimu. Kama taifa tuenzi mchango wake katika elimu kwa kuboresha shule zetu za kata.
  9. O

    Jenerali David Musuguri kafikisha miaka 104, hongera kwake

    Hongera zake CDF mstaafu. Pongezi pia kwa wake zake nao wamemlinda mzee.
  10. O

    Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

    Watu wanajipanga kurithisha madaraka kwa watoto wao.
  11. O

    Jibu la Paul Makonda kwa mwandishi dhidi ya shambulio la Tundu Lissu lina maana gani?

    Kama ndani ya chama hicho kuna baadhi ya wanachama ambao si wanafiki, hawataelewana na mwenezi mpya. Na ndiyo mwanzo wa vurugu na minyukano isiyoisha.
  12. O

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Sasa huyo mtumishi wa Mungu ( Mchungaji) Anawafundisha nini wafuasi wake juu ya msamaha? Maana hapa alitakiwa awaweke sawa mke na mme na maisha ya wanandoa hawa yaendelee vyema. Sasa yeye analeta mambo ya polisi, kweli aendelee kuaminika kama mtumishi wa Mungu?
  13. O

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Wako wengi ndani ya CCM waliovurugwa na ingizo jipya. Ni suala la muda tu, yetu macho.
  14. O

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Just imagine mwanamke yuko kanisani hana hata habari na watoto wake wachanga. I see! Mshauri mkeo amepotea njia.
  15. O

    Ni zaidi ya miaka 20 sasa somo la Hisabati linakuwa la mwisho katika ufaulu shule za msingi na sekondari. Nani alaumiwe?

    Walimu waboreshewe maslahi, maana ari yao ya kufanyakazi iko chini sana. Wafanya maamuzi wanajilimbikizia posho, motisha na marupupu kibao, lakini mwalimu anaendelea kusota.
Back
Top Bottom