Search results

  1. R

    Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    Nimevutiwa sana na haya mabanda...niko ktk mkakati wa kuanza kilimo cha mifugo...ningependa kupata ushauri zaidi juu ya ujenzi wa mabanda bora ya kuku...eneo ninalo la kutosha.
  2. R

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.
  3. R

    Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

    Sifael wa kyela...sasa hapo umejifunza nini na imekusaidia nini?
  4. R

    Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

    Hivi kwani isifike mahali Moderator ukazuia posts km hizi...zinatupeleka wapi? na nini hasa maana yake kwa maadili ya kitanzania?si lazma kila kitu kiachiliwe JF...mimi naamini hili ni jukwaa la watu makini ...wenye nia njema na jamii na maendeleo ya Tanzania.
  5. R

    Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    Nimeipenda sana hii...thanks to JF kwa kutuletea habari tofauti zitakazo tufanya kusonga mbele...
  6. R

    Maazimio ya Wanakagera(KYL) kuelekea Kagera mpya

    Ninaomba kuwa hili sawa...si kweli kuwa wanakagera wote ni wahaya...tusitumie kabila moja km identity ya mkoa.Km mtu hana hoja ya msingi ya kuleta mabadiliko ktk mkoa wa Kageraa aendelee na threads nyingine...haijazuiwa "wamakonde"nao kujipanga.
  7. R

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Professional news men wana code of ethics na by standards wanatakiwa wawe objective...but hapa Bongo vyombo vya habari vinasajiliwa kiholela holela tuu..I doubt integrity ya TCRA..
  8. R

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    Nadhani Mheshimiwa umeshindwa kupambanua kiongozi thabiti na madhubuti ni yupi..uongozi si kuhudhuria kila msiba ati ili uonekane "mtu wa watu".Tufike mahali watanzania tutofautishe uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijamii...tumehudhuria misiba na kutoa ubani mara alfu bado nchi inateketea... if...
  9. R

    Mliona msajili wa vyama alivyobanwa TBC?

    Ni Dr Lwaitama...
  10. R

    Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

    Huyu Kawambwa hata kufundisha kulimshinda pale UDSM maana alishindwa vigezo vya Promosheni.. yaanii utafiti na kuchapisha..sasa aende wapi zaidi ya siasa!
  11. R

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Je ni kweli? Najiuliza leo PM kapata wapi mamlaka ya kumsimamisha kazi katibu Mkuu? Kama ni kweli baada ya siku chache tutege,ee kusafishwa kwa Katibu Mkuu na Tume itakayoundwa....PM asubiri kulia tuu next wk.
Back
Top Bottom