Yaani unajiendeleza kwa kutumia cheti cha mtu,na anakibali cha kufanya hivyo,naomba kujua sheria za kipindi hicho zilikuwaje maana kichwa hapo kimekuwa hewa.
Maeneo ya mabibo jeshini hawajafika ila maduka,vibanda na baa zote zimefungwa na watu wamekaa vikundi vikundi nimeshuhudia wamebeba silaha mapanga nk wanawasubiri kwa hamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.