Mi nikioa tutachomana visu huko ndani, nilishanusulika kuchomwa kisu na mwanamke ndani nyie acheni kabisa, bila majirani kuvunja mlango sikuio kungekua na maiti moja wapo na mwingine kuozea jela
Aiseee [emoji1] tumesota Sana mtaani since Ni graduate mwaka wa pili huu nakula msoto napigwa na jua na kupauka juu Kama mchimba chumvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza pay scale ikoje sijataja range ianzie sh. Ngapi kwenye maelezo yangu kwa position hiyona hakuna sehem niloeleza expectation zangu za mshahara uanzie sh. Ngapi[emoji23]
Ila the issue kumekua na story nyingi kuhusu salary scale ya huko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] dah hao so wale ma expert na ma senior je sisi tunaoanza tunaangukia kundi gan? As Clerk 1- Warehouse?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimeitwa Ila io industry ya akina GGM siijui flesh kuhusu mishahara yao, zaidi ya kuskia vijiweni tu kila mtu Ana lake, position yenyewe niloitiwa Ni Clerk 1- Warehouse ndo sijui malipo yake hua yakoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu amewahi nambia usitafute kazi mgodini kwamba kazi za mgodini "zinadumaza" hii kauli sikuielewa kabisa Nini maana yake. [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Huenda ndo hiivya lumola
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF Kuna mtu anafaham kuhusu swala la mishahara ya watanzania wanaofanya kazi GGM?
JE Ni kweli mishahara yao Ni mikubwa Kama tunavyoskia au ndo propaganda za vijiweni?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.