Dah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!
Muulize anataka kuajiriwa au kujiajiri hapo ndo tutapata pa kuanzia.
NB: hiyo Logistics nimeisoma ila nafanya maswala mengine kabisa kama hana connection asijichanganye hapo.
Kuna Dada mmoja wa Kitanga(Mbondei) maeneo ya Tabata amenizidi miaka 8, sikumbuki tarehe ngapi ila ilikuwa Feb 2023, ilitokea nikiwa katika harakati za utafutaji nilikosea kupiga namba nikajikuta nimempigia huyu Bidada katika kuongea nae nikamwomba radhi kwamba nimekosea namba nikaendelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.