Search results

  1. C

    UTENGUZI: Rais Samia awatumbua Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TASAC, Posta na Posta Masta. Avunja Bodi ya Wakurugenzi Posta

    Na kuna wasimamizi wa mitihani ya Oral kwa mabaharia hapo Tasac ni kama Miungu watu , wao sifa yao wanaipenda ni kufelisha wanafunzi tuuu wanamfaulisha wanaemtaka, hasa upande wa Wahandisi mitambo ya meli ndio kabisaa wanaroho mbaya sana hawataki kabisa kuona wanafunzi wakifaulu wao wanaenjoy...
  2. C

    Kama marefa wanaibeba Simba basi Yanga isingeshinda hata mechi moja

    Waamuzi wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa kwa sababu ya ile skendo ya Yanga kuhonga Marefa, hadi kupelekea Yanga kufungiwa kushiriki soka la nje miaka 3 mfululizo na viongozi wa Yanga walioko madarakani kipindi hicho yaani mwenyekiti na mweka hazina kufungiwa kutojihusisha na soka...
  3. C

    Yanga hakuna timu

  4. C

    Dawa za Sh. Bilioni 2 hazijafika Muhimbili toka Keko tangu Mei 2012

    Aisee mkuu umenivunja mbavu sana..
  5. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Kitotonya sio magari yote madogo yanakuwa ni full time 4wd..mfano Toyota cami zipo ambazo sio full time 4wd ..huwa zina button maalum ukiibonyeza tu ndio unapata 4wd..
  6. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Kamandawasua..Nina garia yangu Toyota Cami nahitaji kuifanyia diagnostics, sasa kwa Dar sijui ni sehemu gani ni wataalam wazuri wa hiyo kazi...maana nahisi gari yangu ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kidogo tofauti na inavyotakiwa. Natanguliza shukurani..
  7. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu RRONDO nilikuwa namaanisha , Toyota Dyna tipa na Mitsubish canter zote zikiwa tipa na tani tatu na robo, je ni ipi bora kati ya hizo?? Na kwa Dar wapi ninaweza kuzipata??
  8. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana jr heshima yako mkuu, naomba kujua uimara wa Toyota Dyna na Mitsubish canter za tani tatu na robo tipa ya kubebea mchanga.. je ni ipi imara zaidi kati ya hizo? Na je naweza kuzipata wapi hapo Dar..??na bei zake kwa kadirio la juu zinaweza kufika shilingi ngapi za kitanzania..Natanguliza...
  9. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Zanzibar Asp ..mimi ninavyosikia kutoka kwa wataalamu wa magari ..wanasema gari zuri kati ya hizo gari ndogo za juu ulizotaja ni Toyota Cami..ila ununue engine K3 ndio inakula mafuta kidogo sawa na passo.. mm binafsi natumia Toyota Cami ila bado sijaichunguza vizuri maana bado iko ktk hali...
  10. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ndio mkuu...ni logic km vile wale wanaokimbia mbio ndefu Marathon..akisha kimbia umbali mrefu akifika mwisho wa mbio zake hatakiwi kusimama ghafla na kukaa ..anatakiwa aendelee kuruka ruka kidogo km dakika 5 au 10 hivi ndio anaweza kukaa sehemu moja..sawa sawa na gari engine ikishatembea umbali...
  11. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mazoko nashukuru.. nitajitahidi nifike maeneo hayo...
  12. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu nisaidie mafundi wazuri na wa uhakika wanapatikana wapi??
  13. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wamegundua inakula mafuta sana baada ya kusafiri safari moja na Noah old model..na walijaza mafuta kiwango sawa lakini ulaji ukazidi wa Noah...
  14. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sio full time 4wd maana ktk dashboard kuna button ya kuweka 4wd..sasa hao mafundi wanasema diaphragm imenasia hivyo inasababisha gari mda wote 4wd hivyo kusababisha ulaji wa mafuta kuongezeka..na gari ni zito kidogo...
  15. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Unajua nilivyolinunua nikawaachia familia nyumban wakawa wanaitumia ..niliondoka siku cheche baadae kosa langu mm sikulichunguza vizuri utumiaji wake wa mafuta.. itakuwa tulinunua likiwa na hilo tatizo.
Back
Top Bottom