Search results

  1. M

    Foleni Dar es Salaam

    mbezi leo kuelekea kibaha kunatisha kuna bonge la foleni.
  2. M

    Kampuni hizi za Mabasi vipi?

    sumry jana imeua watu 30 singida
  3. M

    Wanaume chukueni mfano kwa Mwigulu, kusaidiana muhimu ndani ya nyumba!

    Jamani nakahurumia haka kamalaika kasijekuwa na roho mbaya kama ya huyu savibi babake
  4. M

    Nyaronyo Kicheere: Kikwete ananichukia bila sababu

    Tunahitaji watu wenye uelewa kama wako ndugu
  5. M

    TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    kulipa kodi watu hawakatai kichogomba ni wapi kodi inakatwa. Tra wanataka kuchukua kodi ya%20 kwenye mauzo yako ambayo wewe mwenye duka umeuza kwa siku,ambapo unakuta faida yako nindogo sana haifiki hata %20
  6. M

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Tundu lissu anatosha
  7. M

    Kali za Bungeni Leo

    Ondoeni picha ya Raisi iache kumkodolea jaji macho
  8. M

    DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

    mmmm tuwaachie watu wakumbwa maana ss tuliozaliwa kizazi hiki hatumfahamu hata kwa sauti
  9. M

    Kama Zitto ukifukuzwa CHADEMA anzisha chama chako na ntakuwa mtu wa pili kujiunga!

    Mimi naomba kamanda zito azipuuze kelele za watoto wake aendelee nakazi tulizo mtuma sisi wa Tanganyika wenzake
  10. M

    SWALI: Nani Kamuona Mbunge wa MOSHI MJINI Bungeni au Jimboni?

    Ni mm nilimona jana mzee wawatu tena kakaa kwa nizamu kama kawaida yake.
  11. M

    Live: Msajili wa vyama vya siasa ndani ya EATV Hot mix

    mnafiki wewe mbona sijasikia akisema atafuta cdm.mwambie ajaribu aone.na akikifuta cdm kipo kwenye moyo.
  12. M

    Picha: CHADEMA M4C Mtwara

    kumbe viongozi walimaliza kazi siku nyingi .nyie ccm mtachoka kutoa sumu sanaa nahuku kwetu tunasubiri ile kapuni ya mama wa nchi hii aje aanze kuchimba zahabu tumuoneshe kazi.
  13. M

    Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Hongera kamanda zitto. Mungu akutangulie mbele ya safari yako kuelekea 2015.
  14. M

    Vita ya Lissu, Ndugai yakolea

    Me naomba wanaojua kipindi cha kipima joto kinarudiwa lini, watuambie ili sisi tuliokosa tuangalie.
  15. M

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Mimi ninaimani na zito siku zote.Jamani mwacheni zito sasa ameamua kukijenga chama.
  16. M

    Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

    wanaenda kukata rufaa nzanzibar
  17. M

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    poleni wafiwa tunaomba ratiba ili tuhuzurie mazishi kule kwao mahambe ikungi
  18. M

    Jamani Husninyo Kapotelea Wapi?

    hata mie nimemumiss. husninyo popote ulipo jitokeze.
  19. M

    Mbunge mh Hainessy Kiwia & Star tv

    yahaya hembu tueleze ni boss au niwale warusha matangazo pale dodoma wanambania kiwia.
  20. M

    PIcha za mkutano wa Chadema leo Iringa

    asantee sana kwa picha kaka naona iringa ni nyumbani kwetu
Back
Top Bottom