Search results

  1. M

    Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

    Sasa wewe mchimba chumvi wa Uvinza una IQ gani wewe…. Mtu mwepesi kama unyoya hivi unaweza hata ukatoa hoja na ikaeleweka kweli wewe
  2. M

    Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

    Waliokufa siku Zao za Kifo zilishafika ndio maana wamekufa…. Kwa hiyo ili uwamini Mungu yupo ulitaka watu wasife!? Hili tetemeko ni ushaidi mwingine kuwa Mungu yupo anaweza kufanya chochote wakati wowote na mahala popote Mrudie Mungu Kiranga …hujachelewa
  3. M

    Nilivyosema kuwa Magufuli alificha mabilioni Canada nilitukanwa sana, hatimaye ndio mnafahamu sasa?

    Luqman unahangaika Sana aiseee Mama ako asafishiki
  4. M

    SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Umenikumbusha mbali Sana ndugu, Class ya Mwaka gani pale ulipita?
  5. M

    Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Azory na Ben wamefanyaje? Na wanahusikaje na Magomeni flats
  6. M

    Swali: Ni wakati upi Jaji anaendesha kesi hulazimika kutoa sababu ya maamuzi ?

    Habari Ndugu zangu? Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nianze kwa nukuu ifutayo. "HAKI HAIPASWI TU KUTENDEKA BALI YAPASWA KUONEKANA IMETENDEKA" Kwa sasa wengi wetu tumejawa na tashwishi, Hatujui iliyo ya HAKI Wala iliyo ya HALAM Nafsi zetu zimeinama, tukiponzwa na...
  7. M

    Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Passport yake alioiacha Germany ndio masuala mtambuka
  8. M

    Car4Sale Kisima cha Magari tunauza magari aina mbalimbali

    USHAURI weka picha nyingi kwa kila gari unayoiuza Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  9. M

    Propaganda zinasukwa Simba Day isihudhuriwe na watu wengi ili uongozi wa Simba uonekane haufai

    Wewe ndio unafanya propaganda Unajua turn out ya Mashabiki itakuwa ndogo...hivyo ameajiaanda ikitokea hivyo Ili useme kuna watu walikuwa wanafanya kampeni dhidi ya viongozi Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  10. M

    Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

    Thanks Mkuu, I was about to ask the same question [emoji780] Urais sio mtu Urais ni Taasisi Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  11. M

    Kuku wa nyama tani 2.5 zinahitajika

    Wastani wa kuku 2500 wenye Uzito wa kilo moja Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  12. M

    Kuku wa nyama tani 2.5 zinahitajika

    Naam mkuu Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  13. M

    Kuku wa nyama tani 2.5 zinahitajika

    Habari wadau, Nahitaji kuku wa nyama tani 2.5. Hata kama una kuku ambao bado hawajawa processed ila wanaweza kutoa tani hizo tajwa hapo Juu Basii njoo tuifanye biashara Serious seller Dm me your contact tuifanye biashara. Ahsante.
  14. M

    #COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    ACHA KUMFANANISHA PROF. I.H. LIPUMBA NA VITU VYA KIJINGA WEWE. Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  15. M

    Tusitengeneze 'character' mpya ambayo Rais Samia hakuwa nayo

    Tatizo halikuwa katiba Bali ni usimamizi wake, kama hatuwezi kuilinda na kuisimamia katiba iliyopo...hiyo katiba mpya itakuwa na maajabu gani? Mnataka kusema hiyo katiba mpya itakuwa na Uwezo wa kujisimamia yenuewe.. Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  16. M

    Karibu ofisini kwetu upate buti original za ngozi

    Kwa hiyo mna buti pea Moja tu Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
  17. M

    Barua ya wazi kwa DG wa TAKUKURU

    Naamini atashughurika nao Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom