Search results

  1. EPA TZ

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    I salute you Edo na timu nzima ya ufundi ya kampeni za Ukawa. CCM TUPA KULEEEEEEEEEEE
  2. EPA TZ

    Ilani na sera za UKAWA

    kwa ilani hii ni rahisi kuwapima kama watashindwa kutekeleza sio bla blaa za jana eti watajenga viwanda...vingapi, wapi, lini? tutaendelea kukagua migodi...kwani sasa hamfanyi na imetusaidia nini kama taifa? CCM TUPA KULEEEEEEEEEE
  3. EPA TZ

    Video: Makonda sasa amgeukia na kumshambulia Lowassa

    Amelewaaaa chakari, Lowassa ndo RAIS, AMIRI JESHI MKUU ajaye, inyeshe mvua, liwake jua.
  4. EPA TZ

    Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    Lowassa the great, unstoppable and the man of God. Anasubiri kuapishwa take it from me
  5. EPA TZ

    Je 2015 ulaghai wa kanga, tshirt na kofia zitawalevya tena Watanzania?

    Mbona wameshaanza kugawa t-shirt na kanga
  6. EPA TZ

    Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

    Nipigie 0753 33 33 30
  7. EPA TZ

    Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

    Nami nahitaji nyumba naomba unipigie 0753 33 33 30
  8. EPA TZ

    Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

    hao hawana hata uwezo wa kuhoji kwanini hawatibiwi bure wakati CCM iliahidi kufanya hivyo, mwalimu wa chekechea kwao n kama rais...kwa kifupi hawajui haki zao hata moja zaidi ya kuvaa hizo khanga, vilemba na t-shirt. Kweli CCM hawana huruma, wanawatesa hadi hawa wazee kwa kuwahonga chumvi!!! Ee...
  9. EPA TZ

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    Nawezakubali kwamba zzk ana wafuasi wengi sana nchini, waislam na wakrito, kwanini anang'ang'ania chadrma cha kidini na kikabila??? Nakushauri kaka yangu zitto anzisha tu chama hujachelewa kuliko kujidhalilisha na kubishana bila muafaka.
  10. EPA TZ

    Nina sh. Milion 6....nianze biashara gani?

    tafuta fremu sehemu iliyochangamka, nenda kilosa hapo au kyela/mbarali, nunua mchele/mpunga wa milioni 4 utakulipa...otherwise fungua m-pesa
  11. EPA TZ

    Makampuni ya IPP NI YAPI?

    itv company ambayo ni itv, radio one, capital tv &radio, eatv na radio the guardian limited i.e the guardian news paper, nipashe nk bonite bottlers inayozalisha soda, maji ya kilimanjaro anamiliki hisa nyingi sana sehemu mbalimbali mfano CRDB anahisa nyingi kiasi kwamba nae n mmoja wa wanaounda...
  12. EPA TZ

    hawatakua wabunge tena

    Hakuna cha kujadili, labda kama unataka kuwapigia debe...
  13. EPA TZ

    Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

    Tina mimi nimekuelewa, hakika bandarini hakujatulia kwa sababu mwanzoni Mwakyembe alipoulizwa kwamba bodi inataka kumng'oa KIPANDE alikataa akasema bandari ni shwari na kinachoenezwa ni umbeya wa mitandao...wiki moja baadae amevunja bodi (ametimua wajumbe wanne). Kwa hiyo ninachokiona hapa ni...
  14. EPA TZ

    Wateteaji Tembo wamefika Dar leo. Wataiweza hii vita lakini?

    NW Lazaro Samwel Nyalandu amesema UJANGILI unahusisha watu wazito wakiwamo wabunge, maofisa wakubwa wa utumishi wa umma na maofisa/askari uhifadhi...amesema dawa yao inachemka!! tusubiri filamu hii mpya
  15. EPA TZ

    Dk Slaa afunguka

    hadi kieleweke, mchakamchaka huu magamba hauuwezi, futa nyayo za msomali mnafiki ambaye anahubiri asiyotenda
  16. EPA TZ

    Kada CCM akamatwa na shehena ya sukari mbovu

    Jana polisi na baadhi ya maofisa wa manispaa ya Temeke walikamata shehena ya sukari nyeupe (industrial white sugar), ambayo hutumika kutengeneza ARV. Sukari hiyo imekwisha muda wake wa matumizi tangu mwaka jana lakini ilikuwa inatoka kwenye warehouse inayomilikiwa na RAMADHANI/ZARINA MADABIDA...
  17. EPA TZ

    Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

    Taarifa kutoka Zanzibar zinaeleza kwamba Polisi wamezima mkutano wa Jumuiya ya Uamsho kwa kuwapiga mabomu wafuasi wa jumuiya hiyo eneo la Mahonda visiwani Zanzibar waliokuwa wakielekea Dole kwenye mihadhara ya mikutano ya uamsho iliyokuwa ifanyike kwenye msikiti mmoja huko Dole. Taarifa...
  18. EPA TZ

    Faru wa JK wang’oa vigogo maliasili

    Nimesikitishwa na taarifa za kusimamishwa kwa askari na wakurugenzi wa idara ya wanyamapori kwa sababu ya kuuawa kwa faru serengeti. Kilichonisikitisha ni kwamba alitekuwa Mratibu wa Mradi wa Faru, Nyamakumbati Mafuru alihamishwa kati ya Januari na Februari akitokea KINAPA. katika habari...
  19. EPA TZ

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    SABODO ametoa pia visima 10 kwa ARUMERU MASH, baiskeli 100 za walemavu kwa wabunge wa CDM ili wazigawe kwenye majimbo yao na ameahidi kutoa eneo+jengo la CENTURY CINEMA lililopo Mwenge (ITV) liwe makao makuu ya CDM.
Back
Top Bottom