Search results

  1. Z

    Nikiwa Rais, ajali za barabarani na ujambazi hautakuwepo kamwe

    Bila kusahau Mashoga na wasaganaji watapigwa risasi hadharani... Tutaandaa siku rasmi kama Taifa ya kusoma vitabu vitakatifu...!
  2. Z

    Katika hili, jiji la Mwanza halina budi kujifunza kwa Bunda

    Umelipwa na Mkangara kuja kusifia utumbo wake hapa yaani BUNDA ilingane na MWANZA???
  3. Z

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Tuliho kisangwa[emoji16][emoji16]
  4. Z

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Billionaires club kitambo sana tulienda kuangalia kwa jirani yetu part two yule maza house akatunawisha miguu kwanza kabla ya kuingia ili tusichafue nyumba...!
  5. Z

    Msaada

    Shukrani mkuu kinaonyesha lakini kinakuwa kinaonyesha marangi rangi ambayo wakati mwingine hukata na kuonyesha vizuri bila shida.
  6. Z

    Msaada

    Nina tv yangu lg inch 55 smart Ina shida ya kioo,kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba tuwasiliane
  7. Z

    Katika mshahara wa million moja na nusu nimeongezewa 30000 tu

    Mama kapokea nchi hata mshahara mlikuwa hamjui unaongezeka mwaka gani Kawaongeza lakini pia kuna changamoto ya vita ya Russia,corona,mazoezi muhimu kitaifa kama Sensa,na makazi yote yanatumia pesa lakini Ka Jitahidi kuongeza hata hicho kidogo.
  8. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu yanga Hapana mzeee sina hakika na ubora wa kikosi chake kwa kesho maana tar 2 yupo na wagosi nafikili atapumzisha watu ili kuepuka majeruhiii
  9. Z

    Nipo njiapanda: Kati ya ualimu na ufundi nichague kipi?

    Moja kati ya mawazo yanayotufanya waafrika Tuludi nyuma ni kuamini ili maisha yaendeleee ni lazima uwe serikaliiii.. Mie huwa naona serikalini ni kupoteza muda na kusubili kifo tyu hakuna maisha huko
  10. Z

    Simulizi: Kikokotoo

Back
Top Bottom