Search results

  1. vuvunduli

    Daktari: Mwanachuo wa UDOM, Nasra Abdallah aliletwa Hospitali ya Faraja bila kuwa na Jeraha. Hakuwa na alama yoyote

    Watu wanataka habari iliyo iliyokamilika, mtu anapigwa hadi kuuawa. Aliyefanya hivyo hajulikani wala hujui kafanywa nini? Maswali mengi kuliko majibu
  2. vuvunduli

    Kwanini watumishi wengi hawataki kufanya kazi Sumbawanga Vijijini

    Upo sahihi sahihi jamaa ni watu wakarimu sana. Ila sio watu poa kabisa ukiwachokoza.
  3. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Pole kaka... ngoma hiyo enjoy !!
  4. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo unaitwa Maisha ya Mjini ameimba mwanadada V2 ft Mzee Chuchu.
  5. vuvunduli

    Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

    Ukiongezea tuvituvitu vya mwamba Totou Kaludji, Kipelekese ni bonge la ngoma pia!!
  6. vuvunduli

    Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

    Kuna dude nimeliona hapo la kuitwa Jugement jamaa kalamika humo, huwa nairudia hata mara mia.... jamaa ndo mkali wangu kwa Wacongo!!
  7. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Msaada kwa wimbo wa Komboa Wakati kutoka AIC Arusha. Natanguliza shukrani wadau...
  8. vuvunduli

    Nyota ya mmasai Kili Paul inavyozidi kung'aa huko India

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. vuvunduli

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Waanze na Azam TV wanaotafsiri movies na tamthiliya za nje!! Wao wajiongeze tu kwenye uandaaji wa movie zao!!
  10. vuvunduli

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    Halafu ramli ikatimia Bi Zainab ameolewa na kuwa mke wa pili wa Bwana Waziri wa Maji[emoji16]
  11. vuvunduli

    Rasmi Ben Affleck amchumbia tena Jennifer Lopez

    Dah bishosti naye hazeeki.... kaamua kurudia makoloni!! Ila Ben naye ana moyo.... maana toka waachane msururu si haba toka P Diddy, Chris Juddy, Wiliam Levy hadi Mzee baba Marc Anthony,ila bora yeye kabutua mapacha kabisaa!!
  12. vuvunduli

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaha halafu yule meneja alikua mshkaji wangu itakuwa naye alikua anaupiga huo mzigo[emoji1]
  13. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Unaitwa Baby Girl ameimba jamaa anaitwa KingLenny
  14. vuvunduli

    Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

    Nadhani kama unataka demu ya Jay moe na Solo Thang ndo wametajwa wengi sana mule!!!
  15. vuvunduli

    Je, Adam Mchomvu amewahi kutangaza Mbeya FM?

    Kitambo sana nakumbuka!! Pia pale Mbeya Fm pia alikuwepo jamaa wa kuitwa Twali B kama sijakosea!
  16. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nnayo hii ngoma kwa external ila nimeasafiri nitauweka nikirudi, ni yake K Basil ft Man Edo - Kanizimia.
  17. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hiyo nyimbo ameimba Jamaa wa kuitwa Norichiko ngoma inaitwa nimemfukuza!! Ipo mtandaoni unaweza idownload..
  18. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo unaitwa nimemfukuza umeimbwa na msanii Norichiko!!
  19. vuvunduli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo ya dansi iliimbwa kwa lugha ya kihaya ni nzuri sana sijui ni hiyo ilikuwa inapigwa Radio Tanzania (RTD) enzi hizo.
Back
Top Bottom