Nilikuwa na situation kama hiyo,wakwanza mtoto mdogo Hana elimu kubwa.wapili tumegraduate pamoja na baada ya kumaliza tu akapata kazi bank na kwako yupo njema tu, Ila nilichagua furaha zaidi nikaoa wakwanza ambaye Hana kitu naenjoy now na amenizalia mapacha
Hizi sio taratibu,hapo wameficha majina ya watoto zao na ndugu zao.haiwezekani Ata hizo email za walioitwa kazini haikutaja jina imesema tu dear applicant.kwann email za kuitwa kwenye usaili ziwe na majina na kuitwa kazini zisiwe na majina?hiyo ni kuficha hili watu wasianze kucompare pdf la...
Wengi waliitwa kazini hawakufanya usaili na ndomana Ata email za kuitwa kazini hazikuwekwa majini wametumia dear applicant tu wakati email za kuitwa kwenye interview Zina majina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.