Search results

  1. Ngusekela Omwami

    Chuki dhidi ya Bikira Maria inawapofusha Wasabato na kudai Mwanamke wa Ufunuo anasimama badala ya Kanisa lao

    Maria ni mama wa Mungu,ni sanduku la agano,kioo cha haki na ni mlango wa mbingu Kuna watu baadhi ya maandiko huwa wanapatikana au hua hayaoni kabisa
  2. Ngusekela Omwami

    Chuki dhidi ya Bikira Maria inawapofusha Wasabato na kudai Mwanamke wa Ufunuo anasimama badala ya Kanisa lao

    Na hili la Maria lina wasumbua wengi sana sio wasabato tu lakini ukweli utabaki pale pale manabii walitabiri kuzaliwa kwa Yesu na jinsi ya kuzaliwa kwake wasome kitabu cha Kula watajua vizuri
  3. Ngusekela Omwami

    Chuki dhidi ya Bikira Maria inawapofusha Wasabato na kudai Mwanamke wa Ufunuo anasimama badala ya Kanisa lao

    Ndio maana wasabato wengi ndoa zao zinamigogoro haya mambo ya kumwita mama wa mwenzio ni bahasha tu ni utovu wa nidhamu. Hivyo mama wakwe na baba mkwe tumwite bahasha? Yesu kristo atabaki kua ni mwana wa Maria milele
  4. Ngusekela Omwami

    Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

    Sio walimu pekee yao watanzania wengi wana maisha mabaya kuliko hata hao walimu
  5. Ngusekela Omwami

    Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

    Shukuru Mungu unamiliki hizo dread wengine hawana
  6. Ngusekela Omwami

    Kuwategemea Manabii Ni Ibada Ya masanamu

    Mungu alifanya kazi siku sita. Na siku ya saba akastarehe. Sisi tunataka starehe tu. Hebu fikiria katika siku sita za kazi Mungu alizotumia alipata masaibu gani? Alipitia changamoto nyingi na alifikiri sana sasa sisi hatutaki hivyo tunataka Muujiza tu. Ule muujiza wa Lazaro ulikua una process...
  7. Ngusekela Omwami

    Kuwategemea Manabii Ni Ibada Ya masanamu

    Kwa Mungu hakuna Kondakta Mtauziwa sana mchanga,maji, mafuta,juice,,soda za upako lakini mafanikio sahau
  8. Ngusekela Omwami

    MAONO: Baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Dkt. Tulia Ackson. Mbingu zimeridhia na dunia itapokea

    Acheni kumtia balaa Tulia Akson yeye na uraisi wapi na wapi?
  9. Ngusekela Omwami

    Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

    Umeandika kwa hisia kali sana mkuu. Pole kwa hilo
  10. Ngusekela Omwami

    BAVICHA yachaguliwa kuongoza Umoja wa Vijana Afrika

    Wakijani wanatafuta hoja za kumpiga Bashiru
  11. Ngusekela Omwami

    Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

    Tunahalarisha Kula tunda kimasihara masikhara
Back
Top Bottom