"Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao, hivyo muhusika akapokea jumla ya shilingi 68,688 sawa na Makato ya asilimia 19 ( 16, 112) ya 84,800."
Sasa hapo kapewa 68,688 karudisha 84,800+4240 (hio ulioandika huko chini) = 89,040.
Chukua hio 89,040-68,688 unapata...
Me ili nipokee shikamoo yako basi nikuzidi walau miaka 5. Na ili nikuamkie kwa hio kauli ya Shikamoo basi unizidi walau miaka 5 .
Kinyume na hapo shikamoo haina matumizi. Salamu nyingine zipo.
(Mtoto afundishwe maamkizi na namna ya kutoa salamu sio neno Shikamoo pekee).
Niwe na Tsh ngapi nisiambiwe haya maneno ? (Kiasi gani cha pesa).
Huyo anaeiniambia hivyo anakuwa katika hali gani ya kiuchumi ?.
Ninashauku ya kuambiwa hivyo, ila nikuhakikishie tu huku uswahilini kwetu hio kauli hutamkwa na binti asiejitambua tu.
Tumezoea vizinga vyetu elfu mbili mbili...
Ilinikuta mara mbili.. Ya kwanza huyu binti alikuwa jirani yetu na kiukweli hakuwa mbaya ila bahati mbaya kwake nilikuwa na mahusiano na binti mzuri zaidi yake na alikuwa anajua. Ya pili nilipendwa na JEFUNEBA (jeusi, fupi, nene, baya) na huu unafiki wangu kukataa siwezi nikawa namuonesha...
Wavulana wakajua dawa ya usingizi ya kumpa mtu ?
Ila wavulana hawakuwa na uwezo wa kushitaki mahala popote ulimwenguni?
Hawana wazazi ? ama hao watoto walitelekezwa ? ama hio madrasa ni ya bweni ? Kwamba wanafanyiwa ulawiti Leo kisha kesho wanarudi tena ? Kwamba kurudi tena kulawitiwa ni...
Kaka kwani kuwa below 25 ndio kigezo cha kuwa mpumbavu. Mtoa mada ni mpumbavu tu hata akisema ni above 25 haibadilishi upumbavu wake.
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hii namba tatu hunikuta haswa nikiwa nimelala chali. Ukitoa ngono basi starehe yangu nyingine ni kulala.
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Nilishafariki na nahisi sasa hivi natumia bonus tu.
Nilikuwa mkoa wa KAGERA, wilaya BUKOBA maeneo ya kwa KAGAMBO hii barabara ni nyembamba yenye matumizi makubwa mno. Nilipata ajali ya pikipiki ilinivaa mwilini kwa speed ya kimbunga HIDAYA nilipokuwa nikijaribu kuvuka kwa miguu, nilianguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.