Search results

  1. T

    Bomu la songea dhidi polisi ni kisasi cha boda boda kwa jeshi la polisi

    Mkuu wa mkoa Said Mwambungu ameitisha mkutano na vijana wa boda boda Songea na kuupasua ukweli kuwa bomu lililojeruhi askari wawili wiki hii lilirushwa na mtu aliyekuwa amepanda piki piki. Baada ya Mwambungu kusema hayo mjadala wote uligeukia kumjadili kijana wa boda boda kupigwa risasi na...
  2. T

    Ccm wanaandamana na kufanya mikutano bila kutoa taarifa polisi mkoa wa pwani

    Jeshi la polisi la sasa limeendelea kujionyesha kuwa linaendesha mambo yake kwa kuibeba CCM. Taarifa ya ndani ya jeshi la polisi zinaonyesha kwamba Mikutano inayofanyika mkoa wa pwani, mingine inafanyika bila taarifa ya mikutano kwenda polisi na mingine inafanyika baada ya barua kupelekwa siku...
  3. T

    Kumbukumbu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Leo tarehe 2/9/2014 imetimia miaka miwili tangu mwandishi wa habari wa Channel ten Ndugu Mwangosi alipouawa kinyama na jeshi la polisi mkoani Iringa tarehe 2/9/2012, na baadaye kuzikwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mwangosi aliuawa na polisi akitafuta habari kwenye mikutano midogo midogo ya...
  4. T

    Dakika 45, emmanuel buhohela sasa toa nafasi kwa warioba / ukawa kuhusu katiba

    Kipindi cha dakika 45 - ITV kimekuwa ni kipindi muhimu sana kwa sasa kwa viongozi wa serikali kufafanua mambo na kupiga propaganda za kisiasa.. Wapo viongozi ambao wamejitokeza mara nyingi katika vipindi hivi (Sijui ni kwa kualikwa au kuomba jukwaa la kusemea jambo). Baadhi ya viongozi ambao...
  5. T

    Mjue mfuasi wa January Makamba- Fredrick Mwakisambwe

    Fredrick Mwakisambwe ni nani? Fredrick Mwakisambwe ni mwalimu kitaaluma asiye na ajira ya ualimu mahali popote hapa nchini. Ni rafiki mkubwa wa MTELA MWAMPAMBA, na Mnyiha - JULIANA SHONZA (ukiweza tembelea facebook ujue uhusiano wa Fredrick Mwakisambwe na hao watu wawili katika picha; Fredrick...
  6. T

    Yona Patrick njia panda kati ya ACT-Tanzania na CCMK NJIA PANDA ACT, CCM!

    YONA PATRICK anayejitambulisha kuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke ndiye mwenyekiti mtarajiwa ACT mkoa wa Dar es Salaam!... Baada ya kupuuzwa na matamko yake na mbinu dhaifu za kigaidi (kujimwagia damu ya kuku na kusingizia kapigwa) sasa anajipanga kugombea ubunge kupitia CCM au ACT -...
  7. T

    Wadau naomba kuona katiba ya ACT - Tanzania

    Wakuu nimezunguka karibu nusu ya Tanzania ndani ya miezi hii miwili kwa shughuli zangu sijafanikiwa kuona ofisi ya ACT zaidi ya ile iliyopo kigoma (ambako wengine wanaamini ndiyo makao makuu).. Chama hiki kina gari moja tu, nalo liko kigoma. Kina wafuasi wengi mtandaoni ambao pia...
  8. T

    Mwal. Kashindye: Sijafukuzwa wala hakuna mpango wa kunifukuza CHADEMA ni uzushi wa ACT na CCM

    Baada ya kukutana na post ya Ninaweza akiwajibu wafuasi wa ACT ambao pia ni wanachama wa CCM, kuhusu mpango wa kumfukuza aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo la IGUNGA huko TABORA... Nimeamua kuwasiliana na mwalimu huyo na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuhusu suala hilo.. Mwl. Kashindye amenijibu...
  9. T

    NI MTIZAMO tu: TUKIVUNJA MUUNGANO TUTAKOSA MAMBO MAZURI HAYA

    Nawaza tu!... Endapo tutavunja huu muungano: 1. watanganyika tutapoteza siku tatu za mapunziko (i) Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar - 12/jan (ii) Karume Day 7/april na (iii) Siku ya muungano ni 26/4 2. na Zanzibar watapoteza siku tatu za kupumzika (i) Siku ya Muungano (ii)...
  10. T

    Kivumbi uchaguzi mdogo wa madiwani, kata 23 kushindaniwa, feb 9, 2014

    Hatimaye filimbi imepulizwa... Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza kuwa vyama vya siasa vianze mchakato wa maandalizi ya uchaguzi huo. Kata 23 katika wilaya/halmashauri 19 kushindaniwa: Mchakato wa ndani ya vyama umeishaanza; kuchukua form za uteuzi wa wagombea kuanzia tarehe 2 january hadi...
  11. T

    ZITTO, Kafulila, Kitila, na January Makamba na harakati za mapinduzi ndani ya vyama

    Kubali usikubali kuna watu wazima, tenawasomi wanatumiwa kuhujumu vyama.. Wengine wanatambua wanachokifanya na wengine wanatumika bila kujua. Hawajui lengo la "UASI WAO" ila wamebeba agenda "mbadala" zinazoficha agenda nyuma yao.... Watu kama akina Kitila, Kitila (bila kujali usomi wake) Mtela...
  12. T

    TETESI: CCM, CUF na CHADEMA Kupigwa Leo Mchana - MBUNGE NCCR MAGEUZI

    Mazungumzo niliyofanya usiku huu na Mbunge mmoja wa Kigoma (NCCR Mageuzi) na "mmoja wa Vijana wa kutoka Mbozi - walioasi CHADEMA na kuhamia chama cha kijani" - Mchana wa leo CCM, CUF na CHADEMA vitapoteza wafuasi wao kwenda NCCR MAGEUZI... Jumapili hii ya tarehe 24/11/2013 Vyama hivyo vitatu...
  13. T

    Sasa ni muda muafaka wa kung'oa ma-sultan - CUF kwa kuanza na prof. Lipumba

    Kwa Muda mrefu sana tumekuwa na vyama vya siasa hapa nchini ambavyo viongozi wake wamehodhi madaraka.. Augustino Mrema amekuwa Mwenyekiti wa TLP tangu mwishoni mwa miaka ya tisini mpaka sasa; Cheyo ni mwenyekiti wa kudumu tangu mwanzoni mwa miaka ya tisini... Wote hawa waligombea Urais mpaka...
  14. T

    Uchaguzi ndani ya CUF lini?

    CUF:HAKI SAWA KWA WOTE! Chama cha Wananchi au Civic United Front (CUF) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. CUF ni chama cha uliberali wa kidemokrasia ambacho kauli mbiu yake ni Haki Sawa kwa Wote na Sera yake Kuu ni Utajirisho. CUF inasimamia elimu bora, afya madhubuti, mfumo adilifu wa kodi...
  15. T

    East Africa: Scholarship Opportunities for EAC Undergraduate Students 2013

    15 OCTOBER 2013 PRESS RELEASE East African Community (EAC) is pleased to announce scholarship opportunities for undergraduate students from EAC Countries interested in Peace and Security Studies. This program will give the students a chance to learn more about the region and the opportunity to...
  16. T

    Mtwara bado kichapo kinaendelea - Mambo si shwari

    Kuanzia siku ya JUMANNE tarehe 10/sept/2013 wakazi wa kijiji cha LWELU wako mafichoni baada ya kukimbia kipigo ndani ya kijiji chao... Siku hiyo mimi nilikuwa MTWARA kujitambulisha UKWENI... Nikiwa nimepokelewa mchana wa siku hiyo kabla hata ya kufanya mazungumzo na wakwe ZANGU niliona gari za...
  17. T

    Re: Ni aibu na fedhea kwa mtu msomi kuipenda CCM

    Naongea na baa medi nini? Mbona haeleweki?
  18. T

    Ma - HOUSE GIRL (al - maarufu - BEKI 3) ni majanga!

    Hamjambo members wa - JF? sijui mnaendeleaje na harakati za kwenda RITA kubadilisha yale majina ya kufoji tuliyoweka kwenye hati zetu za kumiliki mashamba magari na assets zetu nginyine wakiwemo wake zetu na watoto wetu ?ahhaaaa! Just joking! Hivi ndugu zanguni hebu tujiulize, tunapopata ajira...
  19. T

    Tetesi: Shughuli zote kusimama Mtwara leo kushinikiza Murji aachiwe

    Tetezi nilizozipata kutoka kwa wakazi wawili wa mtwara (ambao ni wafanyabiashara) zinasema kwamba wakazi wa mtwara leo wanafanya mgomo baridi bila kupambana na mtu ili kushinikiza mbunge wao aachiwe. Wamepanga kutofungua biashara yoyote wala kuendesha maandamano ya aina yoyote kwa siku nzima ya...
  20. T

    Ahmed Rajab: CCM itapokwenda kapa katika uchaguzi wa 2015

    SIDHANI kama kuna atayeshangaa akikiona Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaangushwa katika uchaguzi ujao wa 2015. Uwezekano wa CCM kwenda kapa 2015 ni mkubwa endapo uchaguzi wa mwaka huo hautokuwa na magube. Viongozi wa chama wanalijua hilo. Ndio maana baadhi yao wamekwishaanza kuingiwa na wahka na...
Back
Top Bottom