Search results

  1. CHIEF PRIEST

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Wa kike wapo wanne wote wako hai.
  2. CHIEF PRIEST

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Ni wa kiume tu,inaaminika aliwatoa kikowa
  3. CHIEF PRIEST

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Na wewe umeshikiliwa akili na Zitto Kabwe. Usitake kila mtu aamini unachoamini wewe.
  4. CHIEF PRIEST

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Wenye akili timamu tunajua jinsi Zitto Kabwe alivyotumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uko humu .
  5. CHIEF PRIEST

    Wadudu Arusha wamuahidi RC Makonda Uwanja utajaa Siku ya Mei Mosi na Rais Samia atafurahi

    Umenena vema,wadudu wamemzidi ufahamu kilaza bashite
  6. CHIEF PRIEST

    Wadudu Arusha wamuahidi RC Makonda Uwanja utajaa Siku ya Mei Mosi na Rais Samia atafurahi

    Bangi tu hizo wana uwezo gani wa kuujaza uwanja hao wahuni?
  7. CHIEF PRIEST

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Nilitaka kuongeza kitu hapo nikakumbuka wanangu bado wadogo na ninaishi Tanzania.
  8. CHIEF PRIEST

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema. Zitto Kabwe anaomba usajili CCM kijanja
  9. CHIEF PRIEST

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema.
Back
Top Bottom