Search results

  1. K

    I voted for Romney, I feel good

    Stellah Stalisha mbona una hueleweki? ume vote kwa Romney, kwenye blog yako umeweka unashangilia ushindi wa obama.
  2. K

    Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

    Binadamu tuna kazi, sasa huyo Mange akifungwa nyie mtapata faida gani? Mna ishusha hadhi JF kwa kupenda kujadili maisha ya watu, siku hizi JF inaitwa ya wambea na waliokosa kazi. Ebu tupunguze umbeya
  3. K

    Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

    Mkuu, hilo jambo hata sikuungi mkono. Kwanini umwachishe kazi mwenzio, Je umemwandaaje kwa maisha ya badae? hatuombei mabaya, ghafla Muumba amuue kukurudisha kwake, mwenzio utamwacha anaendeshaje maisha yake? fikiria uamuzi wako tena
  4. K

    Wanawake mtaacha lini ukatili huu mbona umezidi?

    wanaume tuache kuwapa mimba na kuwakimbia
  5. K

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    JK ndiyo kafanya tutukanwe, aache kuendekeza safari za ovyo. Msafara wake ana beba watu 30 wote wa nini? wote wanalipiwa hotel hotel anayo lala yeye. mkutano utakuta ni 1+2, wengine wote wanaishia shopping tu. kUnadhani watoa misaada hiyo awaoni? wacha watutukane, labda Rais wetu atajifunza
  6. K

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Mtoa mada yuko sawa kabisa, kweli huyo jamaa ana haki ya kutuponda sababu hiyo misaada tunayopata toka Uingereza ni kodi zao wanazolipa. Kwa hiyo yeye ni mmoja wa walipa kodi, lazima hela yake iume kutumika vibaya. :rant:
  7. K

    Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    na wewe ni nyumba ndogo kwake
Back
Top Bottom