Search results

  1. M

    Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

    Hatimaye nimeiona coment niliyokuwa naitafuta.
  2. M

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Ishu ni mafuta usiseme tu dukani kwake,cha msingi uza hadi yaishe ndio tujue tatizo lipo kwa main impoter siyo unaacha kuuza wakati yapo, bila hivyo umetumwa
  3. M

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Kanuni za utoaji wa huduma za kijamii zinajulikana hata kama ni private sector,huwezi ukafunga/ kuacha kutoa mfano huduma ya elimu halafu ukasema kila jumanne na juma tano ni holday.
  4. M

    Kwenu ninyi Feminist uchwara

    Hata uwalipe kiasi gani cha fedha hawataridhika,wana wivu watakuja wakuue.
  5. M

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Duhh,ako saigilo aqoloee!!
  6. M

    Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Kobazi kwa ajili kukinga jua kali uarabuni,unashindwa kumalizia jibu simple hivyo bwana
  7. M

    Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Umemaliza yote# tuachane mpumbavu mmoja na asituchanganye.
  8. M

    Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

    [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siyo fair
  9. M

    Natafuta mume

    Kwamba Genter mwenyewe katuzunguka ,Jana tu katoka kulalamika.
  10. M

    Natafuta mume

    Heeee
  11. M

    Azimio la Arusha: Kwanini shule za Seminari hazikutaifishwa?

    Tunasubiri msaada kutoka Oman# kila mwenye dini yake anakuambia mi nina ndugu zangu Oman mwisho wanabaki kuletewa tende,mikeka na simu.
  12. M

    Tabora special thread

    kwanini Tbr ipo nyuma kimaendeleo wakati Kuna rasilimali zote Kama ulivyozitaja kuliko mikoa mingine expesialy kaskazini??
  13. M

    Pamoja na maandalizi ya hali ya juu na gharama kubwa zilizotumika, data za sensa 2022 hazitakuwa na ukweli kwa asilimia kubwa

    Ukiona hivyo karani ana connection na mama watoto,data zimeshajazwa,pole sana maswali yako yote ni ya msingi.
Back
Top Bottom