Hili nitakujuza vizuri bila shida Mungu tangu mwanzo Hana theologia, theologia zote ni za ibirisi.
Tuludi kule bustanini walipokuwepo adamu na hawa, Mungu alikuja na Neno lake "fanyeni hivi na hivi, msifanye kile" ibirisi akaja na elimu yake kumbuka tunaambiwa yy alikua mwerevu mno ana hakili...
Mkuu hakuna utatu mtakatifu kwenye bible kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna utatu mtakatifu, utatu mtakatifu ni fundisho la uongo. Mungu kumbuka Mungu anapenda ushirika hivyo lazima akae na jeshi lake mbinguni. Hebu soma 1wafalme 22 uone nabii mikaya aliona nini mbinguni Mungu alikaa na kina Nani...
Samahani mkuu Mimi naomba hii pdf nipate elimu pia kama Una pdf nyingine zinazohusu utt na uwekezaji mwingine nisaidie nipate elimu Nina mpango wa kuanza uwekezaji [emoji120][emoji120]
Habari wakuu kama inavyosema title hapo juu. Ikumbukwe mwaka Jana ilitokea ajali ya ndege kule bukoba na hata hivyo alipatikana kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la majaliwa ambaye amejizolea umaalufu kwa ujasiri alioonesha kwa kuokoa maisha ya watu.
Je, majaliwa amepata ajira? Amepata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.