Search results

  1. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Weeee 20220604 au nimeona tofauti hizo tarehe hapo. Hahaha jaman jaman watu washapiga tayari.
  2. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] akaenda mbugani?
  3. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Naunga mkono Kamati ya mweka hazina [emoji870]
  4. Suzana Alfred

    Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Kuna watu mnawashwa washwa magufuli voice [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Suzana Alfred

    Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Naona sheikh wa mkoa hajaiona Sheikh Alhad pitia kwa jtv [emoji1787][emoji1787][emoji2]
  6. Suzana Alfred

    Jamani acheni kukosoa watu na kuwakera hamchokagi

    Wanaume wakiamua kunyosha asee utanyooka tu utake usitake yaaani heeeee.
  7. Suzana Alfred

    Mwijaku apona kesi ya kusambaza picha za utupu, mashtaka yashindikana kuthibitishwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Suzana Alfred

    Macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali

    Nenda mvumi hospital Then Dawa za asili.
  9. Suzana Alfred

    Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Hufanikiwa sana Tena usikute wale wa kuosha Unaoshwa ukitoka Nje unawakaa acha acha kabisa.
  10. Suzana Alfred

    Aliyetuhumiwa kwa ubakaji watoto 24 Arusha siyo ustadhi

    Wewe sio muislam acha porojo zisizo na maana watu wanaandika vya maana kwa uchungu we unaleta upambe wa dini. Wewe si muislam. Labda muislam jina.
  11. Suzana Alfred

    Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

    Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa.. Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email. Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
  12. Suzana Alfred

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Rudi ukafundwe tena Ndoa sio vile ulizoea gheto Hapo hata ukiwa wapika akija anakubutua tu kwanza rough inakuwa tamu balaaa. Utazoe tu lakin.
  13. Suzana Alfred

    Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Kwahiyo mvulana unakaa unapiga story na mke wa mtu kisa jirani?? Wanaume wa Dar ni tatizo kubwa sanaa Mwanaume unakaa na mke wa mwanaume mwenzio!!!!
  14. Suzana Alfred

    Ukweli mchungu

    Kiukweli wanaume siku hizi hakuna Baba zetu walikuwa wanaume haswaa. Yaani uzae na mtu usijue uhalisia wa mtoto kuwa huyu ni wako au laah? Kwamba usimkaripie mwanao hata kakosa kisa unaogopa utaambiwa sio mwanao? Wanaume wa kileo ni vifurushiiii.
  15. Suzana Alfred

    Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

    Hujaolewa heshma ya ndoa uliijulia wapi hadi uitwe mke wa mwenzio dudu washa? Olewa kwanza ndo uijui ya ndoani.
  16. Suzana Alfred

    Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

    Muuh kuna mapenzi hapo kweli?!
Back
Top Bottom