Search results

  1. badman prezoo

    Nawezaje pata nguo za jumla?

    Namna ganii naweza kupata mzigoo wa jumla wa nguoo ili kwa ajili ya kuanza biashara..
  2. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1 na uku bado unasoma. Dah na kama upo ni biashara gani maana maisha ya kuwa tegemezi some time yanachosha. kama inawezekana ushauri wako plz na idea ili tuongeze uwezo wakufikiri kutafuta pesa na tuweze kuwekeza.. tujikwamua kwenye tegemezii...
  3. badman prezoo

    Msaada wa kupata Magemu

    Rejea mada tajwa apo juu, haswa play station (PS). Nauliza upatikanaji wa PS (3,4au5) zinapatikana kwenye maduka gani ukuwa Arusha au Tanznia kwa ujumla na beii zake zikoje.
  4. badman prezoo

    BSc Engineering in Data Science inahusu nini?

    Eti hiii cause inahusiana na nini na application za kwenye maisha ya kawaida inatumika wapi. Naombeni ushauri apo jamani.
Back
Top Bottom