Search results

  1. BakariAbbasi

    PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

    Ulichokipost ni image ya mtu aliepost instagram! Naweza kuyaweka hayo maneno pia kama yalisemwa na Trump au Bob Robert Mugabe! Kwahiyo tunafyekelea mbali uzushi huu.
  2. BakariAbbasi

    Gazeti la Tanzanite limetoa tuhuma nzito kwa Charles Kimei... Nani yupo nyuma ya haya?

    Nadhani wa kwanza anaetakiwa kukanusha au kulifungulia mashtaka gazeti husika ni Charles Kimei.
  3. BakariAbbasi

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! Mapenzi yanaua....! Tujitahidi yasitupumbaze sana! Omba mungu upate mchumba/mke mwaminifu!
  4. BakariAbbasi

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    :smile-big::doh:! Leo ndio leo! Maandiko yatatimia! Anaefaa, sorry atakaechaguliwa kuwa raisi wetu tutamjua!
  5. BakariAbbasi

    Natafuta Fundi Rangi Makini kwa ajili finishing ya Nyumba

    Kaka Fundi umempata! Utajaribu kupima kati ya Thadei na Huyu. Yeye anaitwa Ally Dilunga. Ni maarufu sana, amefanya kazi na kampuni ya Canopies International kwenye renovations ya ofc nyingi hapo dsm na mikoani kwenye Benki za NMB. Kabla hajafanya kwangu walikua Igunga-Tabora. Namba yake ni...
  6. BakariAbbasi

    Manji akumbwa na balaa

    Nadhani mkataba hapa haupo! Hata hayo matela aliyoleta kimsingi yameletwa kukiwa hakuna mkataba! Kama alipewa pesa in advance, arejeshe na utaratibu wa kumpata mzabuni mwingine ufuatwe! Failure to deliver within specified time in the contract is a bleach of contract and there should be a penalty...
Back
Top Bottom