Search results

  1. W

    Ushauri wenu jamani

    Nina mchumba ambaye nimekuja kugundua kuna m'ke mwenye watoto wa3 anaishi naye.Nikambana sn na kumweleza nimelifahamu kwa njia gn,alikataa badae akakubali na kuniomba msamaha na kuanza kunieleza kuwa yule ni m'ke tu anaishi naye na amemkuta na watoto wake na yuko tayari huho m'ke kumwambia...
  2. W

    Simwelewi,ushauri tafadhali

    Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi " sijawahi kufikiria kuoa na wala sina mpango wala wazo hilo". Nahitaji ushauri kutokana na jibu hilo.
  3. W

    Kuua mbegu za kiume zisizalishe

    Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila cku. Njia gani mwanaume anaweza tumia kuua mbegu asiweze kumpa mwanamke mimba? km wazuiavyo w'ke,je kwa m'me nayo inawezekana? Madr fungukeni mnisaidie kufahamu hili.
  4. W

    Ni Tatizo au Kawaida

    Habari! Kuna hali ya kutokwa na vitu vyeupevyeupe ukeni hasa ninapokaribia period au nimalizapo na ktk kpnd hichi nikikutana na mme wng naviona kweny uume wake.Nilijaribu kwenda hospitali tofautitofati km Nne hv jibu naambiwa hiyo ni hali ya kawaida kwa mw'ke yyte...
  5. W

    Wanaume na njia za uzazi wa mpango

    Wana jf natumai mko poa. Naomba kulifahamu hili kwa mwenye kufahamu. Bila shaka wanaume nao wanatumia njia za uzazi wa mpango sasa inakaaje hapa kwa wao hawana madhara yozoteyawapayo
  6. W

    Iringa vp tn?

    Hivyo ving'amuzi vya Startimes mbona havifiki Iringa jamani?
  7. W

    Nakereka na hili jamani

    Habari za mda huu jamani wapendwa, mimi ni binti nnayekerwa sana na hawa madokta wetu wa kitanzania, cjui ni katika kutafuta ela au hawana elimu ya kutosha ya utaalamu wao cjui wao ndo wan jibu hili. madawa ya uzazi wa mpango kiingereza tunaita (family planning) inaonesha wazi ni mabaya katika...
  8. W

    Kilichonikuta

    Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki wa jamii forum: Naomba ushauri wenu wa kufanya baada ya kuguswa na haya yaliyonikumba, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 nilitokea kupendana na kijana mmoja wakati niko nasoma chuo,alinieleza ana mtoto mmoja yuko vijijini kwa wazazi wake na...
Back
Top Bottom