Wakanda2021
Member
- Apr 27, 2013
- 70
- 8
Habari! Kuna hali ya kutokwa na vitu vyeupevyeupe ukeni hasa ninapokaribia period au nimalizapo na ktk kpnd hichi nikikutana na mme wng naviona kweny uume wake.Nilijaribu kwenda hospitali tofautitofati km Nne hv jibu naambiwa hiyo ni hali ya kawaida kwa mw'ke yyte. Naomba nipate jibu tn la uhakika kutoka kwenu wana jamvi la jf mana siipendi hii hali.