Search results

  1. Chisomeko the Legend

    SoC02 Uwajibikaji na Dhana ya kuamini na Kumpa mtu nafasi ya pili (second chance!)

    Ndugu wana jukwaa na jamii kwa ujumla. Mara nyingi kuna mazingira na namna ambazo wengi huzizingatia na hatimaye kutoa majibu ya hatma ya watu kwamba labda flani anafaa au hafai kutokana na hayo mazingira au namna au mwonekano au tabia iliyojionyesha kwa wazi au haikuwa ya wazi lakini...
  2. Chisomeko the Legend

    Anahitajika kijana wa Salon, Arusha!

    Tunahitaji kijana mwenye uzoefu wa kunyoa salon ambaye atapatikana Arusha mjini ili mara moja aanze kazi! Anatakiwa ajue kuongea kiingereza kwa ufasaha kwa kuwa wateja wa Salon yetu wengi ni wazungu na wahindi na lugha inayotumiwa mara zote ni kiingereza. Tunaweza kujadiliana kuhusu mshahara...
  3. Chisomeko the Legend

    Je, unahitaji kuandikiwa Maandiko ya Miradi (Project Proposals), Grants, na kupata Volunteers kutoka nje (USA) kwaajili ya taasisi yako?

    Sisi wataalam katika kuandaa na kuandika maandiko miradi, maandiko ya kuomba ruzuku/Grants, na pia kukuwezesha kupata volunteers/interns kutoka nje (USA na Canada). Karibu tuzungumze! Pia tukutengenezee “Fundraising strategy” ya taasisi yako.
Back
Top Bottom