Search results

  1. Alexjohn1

    Mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake anisaidie

    Jamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali. Naombeni msaada.
  2. Alexjohn1

    Maumivu ya kuachwa katika mapenzi hayana mfano

    [emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo huja wakati ambao tayari umekwisha mpoteza mtu umpendae kwa dhati... Pengine... Zaidi hata ya neno...
Back
Top Bottom