resources tunazo nyingi sana za kuweza kuhudumia population ya billion people,tunachotakiwa Ni kupanua na kuboresha huduma za afya, kurekebisha mfumo wa elimu ili tuwe na elimu ya kisasa. kama madini, mistu, mafuta, gesi, water bodies , ardhi yenye rutuba, vivutio vya utalii vyote tunavyo
we Ni akili ndogo kusema watu wasizae watoto wengi Bali serikali inatakiwa iongeze production ya social services, kutanua na kuimarisha fursa za uchumi kwa Kasi ili hao wanaozaliwa waje kuwa productive.
ivi biashara ya ndege zote hizo kwa mkupuo ina faida kweli au ndo mnatubebesha tu gharama za kulipa mishahara na maintanance. Zilizopo tu bado hazifanyi vizuri , tungeenda step by step ingekua vizuri zaidi.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.