Search results

  1. Imalamawazo

    Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Nenda ukanyofolewe figo Zingatia: tahadhari hii imetolewa pasipo kusoma content. Nimesoma heading tu
  2. Imalamawazo

    Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Unadhani anaposafiri hapigi mpunga? Analipwa ujue!
  3. Imalamawazo

    Uzao wa Mkurya aliyezaa na Mkimbizi Afrika kusini Mazimbu Morogoro akiwa kikosi cha Umkomto we sizwe Afrika ya kusini akichapa kazi

    Majamaa wenzao kiutaniutani hivyo huwa yanatoka mbweni hadi msata na kurudi kwa miguu
  4. Imalamawazo

    Picha, niambie Shule gani Tanzania ina mazingira Bora kuzidi haya?

    Wakumbukwe Magufuli na Ndalichako. Kuna shule zimejengeka kuzidi baadhi ya vyuo vikuu binafsi.
  5. Imalamawazo

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Hoja nyingine ya hovyo ni kuhusu mgombea binafsi asiwe mwanachama wa chama chochote kwa miezi sita. Sarawat yule muasisi wa ugombea binafsi nchini alikuwa mwana TANU. Sasa hawa hiyo hoja sijui wameitoa kwa misingi gani?
  6. Imalamawazo

    APR Imehujumiwa. Tukitaka kuendelea kisoka, Watanzania tuache hizi tabia

    Hizo zote ni off side halali kabisa
  7. Imalamawazo

    Ni wife material lakini sivutiwi kimapenzi. Je, nimuoe au nisioe?

    Kama huvutiwi naye huyo siyo wife material kwako, na ukishamuoa ndo utajua kuwa umeuvaa mkenge!
  8. Imalamawazo

    Aibu kwa Viongozi: Kurejea kwa Kipindupindu sababu ni Uchafu. Hili la Usafi nalo linamuhitaji Magufuli?

    Wamewaiga akina Bill Gates na covid. Haiwezekani ugonjwa ulipuke maeneo mengi ghafla tu. Mlipuko umekiuka mathematical models za magonjwa ya mlipuko
  9. Imalamawazo

    Pongezi kwa viongozi wa TAMISEMI kwa kuleta mfumo wa ESS

    Hatari sana. Kwa akili za watu wetu hiyo inawezekana kabisa. Kama ambavyo wanadanganyika hadi wanajiondoa kwenye group za WhatsApp.
  10. Imalamawazo

    Sadaka ni nini? Je Kanisani inatolewa Sadaka kwa mujibu wa andiko gani la Agano Jipya?

    Nenda kanisani, leo ni Epifania, sherehe ya mwana wa Mungu kujifunua kwa mataifa, nao kumtolea sadaka kupitia zawadi za Mamajusi
  11. Imalamawazo

    Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Upulizaji wa hiyo dawa ya ukoko ni deal kwa watu wa halmashauri hivyo usitegemee upatikanaji wake uwe rahis
  12. Imalamawazo

    Nigeria: Serikali yafuta nauli za Treni, yapunguza nauli za Mabasi kwa 50%

    Bora hii taarifa imechelewa kusemwa, hapa bongo tungepigwa sana. Watu wangempanga mama, mpunga ungetoka na nauli wangekusanya kama kawaida!
  13. Imalamawazo

    Simba wamechukia sana Diara kupangua Penati

    Hiyo Sowah ndo keshajiharibia hivyo
  14. Imalamawazo

    Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Hiyo ban labda itawaumiza akina Abdul siyo yeye. Fuatilia orodha ya ziara zake za fichwe utaona ulaya.
  15. Imalamawazo

    Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

    Hamas ni gaidi, gaidi hana ndugu. Sisi tunaojifanya eti tuna undugu na Hamas yafaa tujue hilo. Hamas yuko tayari kuwatumia wapaletina wenzake kama ngao ya vita, atashindwa nini kumlipua mtz
  16. Imalamawazo

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Hajui huyo mwache aendelea kumfuga, akisogeasogea umri wa barehe tu ataanza kumlamba vibao
  17. Imalamawazo

    Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Just imagine unaongea na mama yako kuhusu hili suala, unadhani yeye angependelea yupi kati ya hao wawili. NB: kibiblia mama yako ndo anajua sifa za mke anayekufaa.
Back
Top Bottom