Search results

  1. UNCLE THREE

    Kosa kubwa walilofanya DC Comics

    Dc Comics na Marvel ni washindani wakubwa katika vibonzo au comics lakini pia katika kutengeneza Filamu na hata vikaragosi au cartolns pia. MARVEL wamewaacha mbali DC katika filamu hasa katika miaka ya karibuni na kilichowafany Marvel awe anawasumbua DC ni maamuzi aliyechukua Mkurugenzi wa...
  2. UNCLE THREE

    SoC02 Hatua stahiki dhidi ya ongezeko la joto duniani

    MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
  3. UNCLE THREE

    SoC02 Faida za kuwa mzalendo kwa nchi yako

    FAIDA ZA KUWA WAZALENDO UTANGULIZI Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake na kuweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Na mara nyingi mzalengo huwa mzawa na mwenye kuipenda nchi yake na huweza kujitoa mhanga hata wakati mwingine huweza kufa...
Back
Top Bottom