Search results

  1. D

    JamiiForums Usiku wa manane

    19:50 Maghayo njoo ule. Acha kula mataputapu ya wazee.
  2. D

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    Bundle sina hofu nalo. 24 hours free public WiFi. Sema natumia muda mwingi sana JF.
  3. D

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Ohoo!. Shauri zako. Na wewe unataka kupambwa vya uongo uongo kama mama? Kila la kheri.
  4. D

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Unamuandama sana Comrade Lukasi. Kakufanyaje?
  5. D

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Yeyote usiye na namba yake asikupate? Basi hiyo hakuna internal built feature inayoweza kufanya hivyo. Ila kwa msaada wa apps inawezekana. Je, upo tayari kutumia app?
  6. D

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    iPhone huwezi kublock bali wana-silence unknown calls. ∆Ingia settings ∆Shuka mpaka kwenye Phone ∆Shuka kuna sehemu pameandikwa Silence Unknown Callers, turn it on Kazi imeisha. Kwa hiyo akipiga huioni wala haitakusumbua. Ukitaka kuona hizo namba zilizokupigia, kwenye sehemu ya kupiga...
  7. D

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    I adore the radiant smiles of everyone around. Each person appears genuinely happy, their smiles emanating from deep within. Ingekuwa kule kwingine, kila mtu kanuna.
  8. D

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Kwanza, Euthanasia ni hatua ya mwisho kabisa baada ya matibabu mengine kugonga mwamba. Yaani mbwa ashatibiwa na daktari wa wanyama kushauri kuwa huyu hawezi tena kupona kwa namna yeyote. Sasa yeye si mmiliki wa mbwa. Wala hajafanya jitihada zozote hata za kumsaidia apate matibabu na chakula...
  9. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Ruka ruka. Sawa, halali yako kuchagua. Utanasa tu.
  10. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Ikichanika, leta niishone. Hulipii hata mia 😄😄
  11. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Wewe ushalewa. Endelea kuserebusha nyuma.
  12. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Hahahhahah!. Nimecheka sana. Hiyo wine ya Uto achana nayo. Wine gani unaanza kuserebuka nyuma? Au ndiyo unaiishi slogan yenu 'daima nyuma, mbele mwiko'?
  13. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Hahaha, I will never be underweight!. Ni mapito ya kawaida. Tutakuwa imara msimu ujao. Binuka binuka tu uachie kijambo.
  14. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Emoji hatuihitaji humu. Jukwaa la Msimbazi na mechi yetu. Chapeni lapa.
  15. D

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Sasa mbwa upo naye hapo si umuulize mwenyewe ana changamoto gani? Unamuonea huruma huku unataka kumuua? Kwa nini usingesema natamani hata nimpeleke kwenye sehemu za kutoa huduma za wanyama akahudumiwe na kulishaa kwa gharama zako? Huruma ya kuua? Huo ni UKATILI. Bora asiyemjali. Kuliko wewe...
  16. D

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    We utopolo kalale uhudumie ndoa. Achana na Mnyama .
  17. D

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Naweza kukuelekeza Mkuu. Unatumia simu ya aina gani?
  18. D

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Mechi zilizobaki zimekosa msisimko. Mnyama amepotea, mechi zimetepeta sana.
Back
Top Bottom