Search results

  1. Body Armory

    Sababu za watoto kuchelewa kutambaa msaada

    Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale, Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka mmoja mpaka miwili.
  2. Body Armory

    Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

    Wapendwa wanaJf habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale na kazi katika ujenzi wa taifa. Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri kuhusu suala ambalo nimeona nije niombe ushauri kwenu Nimebahatika kuzaa na binti mmoja ambaye katika kuwa kama wapenzi ilitokea akabeba ujauzito wa nyumban kwao...
  3. Body Armory

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious assesment(CA) pili wao mitihani yao inasahihishwa na kupewa alama kwa utaratibu upi? Tatu na mwisho...
  4. Body Armory

    Humu mjengoni vipi?

    Nafurahi kuwa mmoja wa familia ya Jf naamini nitabadili fikra zangu na mtazamo wangu kupitia watu wengine.
Back
Top Bottom