Search results

  1. heroone

    A Letter To My Future Wife

    Dear My Future Wife, I'm writing this while you are away and I’m here thinking of all moment with you. If only I were to describe how lucky and blessed I am to have you in my life, no proper words I would have get to say it all yet I would like to fill pages to express it all. You're that most...
  2. heroone

    Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Je, kwa wale wanaomiliki laptop mlitaka wabebe wapi.. au kumiliki laptop, ipad na vitu kama hvyo nao ni ulimbukeni??? Dhana ni dhambi mbaya sana.....
  3. heroone

    Watoto milioni 250 hawajui kusoma wala kuandika

    Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na tamaduni UNESCO limesema watoto milioni 250 wa shule ya msingi duniani kati ya watoto milioni 650 hawajui kusoma na kuandika na hata kufanya hesabu rahisi. Hii ni kulingana na ripoti ya shirika hilo inayotolewa kila mwaka. Kwanini hali hii...
  4. heroone

    Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it. Malcolm X Read more at Malcolm X Quotes - BrainyQuote Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it. Malcolm X Read...
  5. heroone

    Kwakuwa ni lazima tupongezane ili tuonekane wazalendo basi pongezi ziwaendee

    Mpiganaji na mzalendo wa kweli ni lazima apate uchungu hasa ukizingatia hali halisi ilivyo nchi inayotawaliwa na mafisadi na waficha pesa nje ya nchi...... Tunachojua ni kutoa ahadi bila kutekeleza ahadi Inauma sana
  6. heroone

    Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

    Serikali ya CCM iache mbinu hizi ambazo tulishazijua. Serikali ikatatue tatizo la msingi la MZOZO WA MIONGO KADHAA KATI YAKE NA WAISLAMU. CCM iwaache waislamu watafute uongozi wao huru kabisa, wanaouamini. Kufikiri ATI maoni ya waislamu yataendelea kusimamiwa, kuratibiwa na kuongozwa na...
  7. heroone

    Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

    Narudia tena usizungumze ili watu waone na wewe umezungumza..... au na wewe ndo wale wale mtu akidai haki basi ankuwa gaidi.. niwapi na lini ponda alifanya ugaidi na au ugaidi wa ponda uko wapi. Ni mangapi yanafanywa na watetea haki lakn hayaonekani kuwa ni ugaidi. Mbona tatetea haki wa CDM...
  8. heroone

    Kwakuwa ni lazima tupongezane ili tuonekane wazalendo basi pongezi ziwaendee

    Davis Rweyemamu wrote: Kwakuwa ni lazima tupongezane ili tuonekane wazalendo basi pongezi ziwaendee Wahandisi wote wanaojenga majengo marefu ya kisasa na yakaporomoka Wanasheria wote wanaotetea majambazi na wabadhilifu nchini mwetu Madaktari wote mliohitimu na kupasua watu vichwa badala ya...
  9. heroone

    Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

    Thibitisha kuwa he is a terrorist sio kuwa unazungumza ili uonekane
  10. heroone

    Female financial economics! Jinsi wanawake tunavoteketeza mamillion kwenye vitu visivyo na tija!

    nice post from a wise woman to a right pipo at a right moment... Hope watakusoma na kukuelewa sis.:smile-big:
  11. heroone

    Nane nane

    tukiangalia sasa nchi ilivyoshikiliwa na wafanyabiashara na mafisadi. Na wakulima kila siku matatzo hakuna masoko, pembejeo hazieleweki, kila kitu majanga... Nin umuhmu wa nane nane kwa sasa?
  12. heroone

    Nane nane

    Msingi wa sherehe na maonesho ya kilimo (nane nane) ulikuwa ni kutekeleza kwa vitendo falsafa ya Nyerere kuwa Tanzania ni nchi ya wakulima na wafanyakazi ndio maana akaanzisha siku hii maalum kwa heshima ya wakulima kama iliyo Mei mosi kwa wafanyakazi lengo ni kuwapa fursa wakulima kutoa kero...
  13. heroone

    Gari inayojazwa hewa badala ya mafuta jitaarisheni 2013!!!

    Umemaliza kila kitu hapa mkuu cna cha kuongezea
  14. heroone

    CHADEMA, Tusiuogope ukweli, tukubali kukosolewa

    I tried to think more than twice kupata hasa hoja, lakini cjaona hoja hapo mkuu, hebu fikiria kauli kama KUWEPO KWA JAJI MKUU, MKUU WA MAJESHI, MKUU WA POLISI.....AMBAO NI WAISLAMU KUNAHUSIANA NINI HASA NA UDHAIFU WA SERIKALI YA (JK), nimejaribu kuhoji mantiki ya yeye kuhusisha uislamu, na...
  15. heroone

    CHADEMA, Tusiuogope ukweli, tukubali kukosolewa

    Mkuu hapa umepotoka, kuandamana waislamu kunahusiana nin na uwepo wa mabomu, je ni halali kwa kila muandamanaji apigwe mabomu......... Hoja kama hizi ndo zile zinazochochea udini,mkuu wa majeshi, jaji kiongozi, mkuu wa polisi, jaji mkuu kuwa muislamu kunahusiana nini na maandamano ya waislamu...
  16. heroone

    CHADEMA, Tusiuogope ukweli, tukubali kukosolewa

    Ndugu yangu uko sahihi na unachokizungumza, we all talks about fact, we should consider where does that fact come from........hasa kwetu sisi vijana tujifunze kufikiri kwa mawazo yetu, na si wa mawazo ya watu wengine.......
  17. heroone

    CHADEMA, Tusiuogope ukweli, tukubali kukosolewa

    Gud point kaka inatakiwa ifike kipindi tukubali kuwa hakuna binadamu walio kamili, na ili kufika hasa pale tunapotaka tunahitaji watu wa kutukosoa, kwani siku zote kukosolewa kunamjenga mtu kuwa na maono chanya, hili jambo limekuwa likiniumiza kichwa na sisi vijana tusitumie macho kutazama, bali...
  18. heroone

    Wazo la leo

    Najua, kwa mtu halisi kabisa, Ikulu ni mzigo! Hupakimbilii! Si mahali pa kupakimbilia hata kidogo; huwezi kupakimbilia Ikulu. Unapakimbilia kwenda kutafuta nini? Mtu yeyote anayeonekana anapenda sana kwenda Ikulu na hata yupo tayari kununua kura ili kumwezesha kufika Ikulu ni wa kumkwepa kama...
  19. heroone

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    mhhhhh......sina la kusema zaidi ya kuduwaa kama nikionacho ndicho nikisomacho na ndicho kilichopo kwenye uhalisia
  20. heroone

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Katika mambo ambayo binafsi huwa sielewi chanzo chake, basi mojawapo ni umasikini na lingine ni utajiri. Maneno haya hunichanganya sana hasa ninapoangalia nchi zetu za kiafrika. Huwa najiuliza hivi utajiri unapimwa na nini? Je umasikini hutambuliwa na nini? Je ni kweli umasikini upo? Na kama upo...
Back
Top Bottom