Search results

  1. 2

    Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

    Hizo airport za wenzako ni za nchi gani? Sio kila anasafiri anahitaji visa, maana kuna nchi unapata visa on arrival, au mtu ni mkazi wa kudum.
  2. 2

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Mimi niliona ana ujinga mwingi nikaona nisopoteze nguvu kumjibu. Yaan ye akisikia online anadhani sijui niaje
  3. 2

    Maboresho ya kupatana app yamefanya nisipate wateja

    Na hili ndo tatizo, hata filter zao hazifanyi kazi. Yaani ukifilter matangazo ya Dsm bado unaona ya mikoa mingine
  4. 2

    Maboresho ya kupatana app yamefanya nisipate wateja

    Hii design yao mpya ni majanga yaani, huwezi ku search kwa location, title Za bidhaa zinaonekana nusu nusu, yaani zote app yao na website na utumbo tu saivi. Imebidi nifute tu app
  5. 2

    Nini maana ya EP?

    Enemy of progress🦾
  6. 2

    Naomba kufahamishwa kuhusu Passport na Visa kuingia U.S

    Kila kitu kiko hapa https://eservices.immigration.go.tz/online/passport/guidelines
  7. 2

    Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

    Madalali huwa wanaweka bei za ajabu sana, kuna nyumba dalali alitangaza mil 80 ila baada ya week 2 bei ikashuka hadi 55. Huwa wanatafuta cha juu kupitiliza
Back
Top Bottom