Search results

  1. O

    Daktari aliyemtibu sheikh Ponda Morogoro atiwa mbaroni.. chama cha madaktari chapinga

    Acha ujinga wako wa kidini,kwani wote waliomwagiwa tindikali,waliopigwa mabomu,waliongolewa meno na kucha,waliotolewa macho,waliouawa nk wote ni waislamu?au wakristo ni halali yao kuuliwa!acha ushamba na uswahili wako.issue tunayojadili hapa ni haki za binadamu si haki za udini.uwe mstaarabu
  2. O

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    huyu jamaa bwana tamuchungu bado ni kipofu na kiziwi pia manake maovu ya CCM hayaoni wala kusikia,huu ni ulevi wa maji ya bendera
  3. O

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    waalimu ni wanafiki sana,wanaudhi sana wanapotumiwa kuiba na kuchakachua kura na kushiriki kikamilifu kuiweka CCM madarakani kwa miaka mingi.kinachowapata kinawastahili ili wajifunze kuwa magamba ni janga la kitaifa.hivi hawakujua tabia za...
  4. O

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Na wewe inaonekana Yanga kushinda imekuuma sana roho hata ukashindwa hata kuona jana refarii alipoiumiza Yanga kwa kadi nyingi mpaka na nyekundu pia hata marefarii wa nje huko huko Ulaya anakotoka kocha wako wa APR wanafanya the same.mfano mechi ya Arsenal na Chelsea,Thiery Henry alipiga...
  5. O

    Ujenzi wa barabara Arusha nani apewe sifa?

    sifa wapewe CHADEMA kwa kuwaajibisha magamba.Hebu tafakarini CHADEMA isingekuwa na nguvu magamba wangeifanyeje nchi
  6. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    HII NI KAMA MOVIE YA KINAIGERIA MASHETANI YANANYANYASA SANA LAKINI MWISHO WA SIKU YANAKUJA KUPIGWA VIBAYA SANA NA NGUVU YA MUNGU.SAUTI YA UMMA =NGUVU YA UMMA=SAUTI YA WATU=SAUTI YA MUNGU WIZI,UMWAGAJI DAMU,UZINZI NA UWASHERATI,UFISADI,RUSHWA,TAKRIMA,MATUSI,UONGO N.K=UFALME WA GIZA=UFALME WA...
  7. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Ccm ni adui wa haki za binadamu na maendeleo ya nchi kwa ujumla
  8. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    fafanua zaidi
  9. O

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    aisee jamaa kweli kaishiwa hoja mpaka anaoungea vumbi, alichokiongea tena sio pumba manake angalau pumba unaweza kutumia kulisha mifugo lakini vumbi ni balaa tupu au ameugua ghafla ugonjwa wa akili naomba wadau mnisaidie kunijuza
  10. O

    Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

    mtoa hoja hana hoja zenye akili may be amepagawa na ushindi wa chama makini.Hakutrajia ni sawa na mfa maji.WAO WANAJIVUNIA WIZI WA KURA,MABOMU,UFISADI(WIZI),UZINZI NA UASHERATI,POLISI,UNYANYASAJI LAKINI SISI TUNAJIVUNIA NGUVU YA UMMA NA MUNGU MANAKE SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU
  11. O

    Wakazi wa Dar es Salaam wanatia aibu, je maisha yetu wakazi wa dar ni mazuri kiasi hicho?

    CCM wanashinda huko kwa kina YAKHE NA KILA KITU HEWALA na ndio tatizo kubwa la DAR MISWAHILI MINGI NA WACHEZA BAO PIA NA UNAFIKI MWINGI
  12. O

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    hayo ni malipo mazuri ya CCM.Mikoa mingi ambayo CCM imejikita sana na wadau wengi ni wa CCM wako nyuma sana kielimu na kiuchumi na pia huduma za jamii ni duni sana
  13. O

    hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi na wezi?

    kati ya mambo ambayo binafsi yananiuzi katika nchi hii ni haya ya kuyapa majina mazuri maovu.nitatoa mifano michache: WEZI=MAFISADI RUSHWA=TAKRIMA HAWARA=NYUMBA NDOGO/bwana wangu/boyfriend Kinachoniumiza sana ni pale mafisadi wanapofurahia sana kuitwa mafisadi mpaka wengine wanaenda kufanya...
  14. O

    Poulsen ataja kikosi cha kuivaa Msumbiji.......Ni majina yale yale.....Je Tufafika kweli?

    kutoendelea kuwa na maximo ilikuwa kosa kubwa sana bcoz alikuwa zaidi ya kocha,kuhamasisha,kutilia mkazo nidhamu,kuvumbua vipaji tofauti na Paulsen.mfano mzuri ni kocha wa zambia aliemfukuza mulenga kwa utovu wa nidhamu ni matokeo yake tumeyaona
  15. O

    Fuatilia mjadala wa katiba unaoendelea hivi sasa Arumeru Magharibi

    uelewa wa watu wa hapo sasa ndio tatizo na hapo ndio chama cha magamba wanapochukulia advantage
  16. O

    Wawekezaji wa migodi wazidi kuitafuna serikali...tazama hii!

    tatizo wenyeji wa maeneo ya madini ni wadanganyika sana.Chama Cha Magamba kinawadanganya sana
  17. O

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Mikoa yote maskini na walio nyuma kimaendeleo ni ngome ya magamba.fikra zao zimetawaliwa na magamba ndio maana hata wabunge wao hawajali
Back
Top Bottom