hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi na wezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi na wezi?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Olookule, Mar 27, 2012.

 1. O

  Olookule Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kati ya mambo ambayo binafsi yananiuzi katika nchi hii ni haya ya kuyapa majina mazuri maovu.nitatoa mifano michache:
  WEZI=MAFISADI
  RUSHWA=TAKRIMA
  HAWARA=NYUMBA NDOGO/bwana wangu/boyfriend
  Kinachoniumiza sana ni pale mafisadi wanapofurahia sana kuitwa mafisadi mpaka wengine wanaenda kufanya sherehe kubwa mfano yule alienda kuchinja madume huko jimboni kwake.Ni wazi kuwa wangekuwa wanaitwa wezi wa mali ya umma hapo kungekuwa na tofauti
   
Loading...