Search results

  1. Mangole Valles Michael

    Maonyesho ya Bishara za Wajasilimali mikoa mbalimbali

    Geita. Maonyesho ya sayansi na teknloajia katika sekta ya madini. Hufanyika Kila mwaka 27/09 - 7/10
  2. Mangole Valles Michael

    10M biashara ipi ifanyike kwa mji wa Katoro, Geita?

    Mkuu mm nipo katoro kama hutojali karibu kwa ajili ya kushirikishana fursa za mji huu.
  3. Mangole Valles Michael

    Maisha yangu ughaibuni

    Uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Mangole Valles Michael

    Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

    Mama shikamoo, naomba niwe mwanao wa hiyari.
  5. Mangole Valles Michael

    Msaada: afanyeje ili aweze kuendelea na kidato cha tano na sita?

    Poa mkuu asantee. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mangole Valles Michael

    Msaada: afanyeje ili aweze kuendelea na kidato cha tano na sita?

    Kuna dogo kamaliza kidago cha nne mwaka huu kapata division two ya 22 kapangiwa chuo cha elimu ya awali (ualimu ) afanyeje ili aweze kubadiri aendelee na kidato cha tano na sita? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mangole Valles Michael

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Uzi mzuri ila details ndo hatuna. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mangole Valles Michael

    Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    Kama unaweza kutoka nje ya Moro ukaenda wilayani kwenye miji inayokua na yenye senta naimani hiyo pesa yako utaifaidi. Kama upo tayari njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mangole Valles Michael

    Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Location kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mangole Valles Michael

    Biashara inayo weza kumvusha mtu katika kipindi hiki cha ongezeko la gharama za maisha

    Hakika mkuu, sema Chakula ni biashara pana sana, je unamaanisha nafaka au kilicho pikwa (mama lishe) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mangole Valles Michael

    Biashara inayo weza kumvusha mtu katika kipindi hiki cha ongezeko la gharama za maisha

    Ila inahitaji mtaji wa kutosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mangole Valles Michael

    Mchongo wa pesa kitaani.

    Ujasiliamari unafaa zaid kama ukiwalenga wanawake, utajiri unafaa zaid kama ukifanya biashara kwa kila mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mangole Valles Michael

    Naomba kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya matunda anisaidie

    Naiman ulifanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mangole Valles Michael

    Mchongo wa pesa kitaani.

    Oya wahuni mambo ni aje !? Mie leo naandika kihuni unajua kwanini? Kwakua nimeamua kuingia mtaani kuzisaka mia Mia, jero jero na buku buku. Oya wakuu nimejifunza kitu kimoja kwa maisha ya mtaani hasa kwa wadau wanao fanya bishara / ujasiliamari mitaani. Kitu pekee nilicho gundua ukitaka...
Back
Top Bottom