Search results

  1. S

    Katika hili CCM inastahili pongezi

    Wanabodi, Katika kutekeleza ilani ya CCM ni wazi kuwa kuna jitahada mbalimbali zimefanyika. Moja ya lengo lilikuwa ni kujenga barabara nyingi za lami nchini mwetu. Kwa maoni yangu ccm inastahil pongezi kubwa katika hili. Nini maoni yako na kwa faida ya wengine ni maeneo gani ndani ya ilani tajwa...
  2. S

    Nauza shamba ekari 10

    Wanajamvi, Rejea somo la habari hapo juu. Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 10 kwa milioni 10 tu. Lina hati ya kijiji, lipo maeneo ya chamwino Ikulu, karibu kabisa na barabara iendayo Dsm. Karibuni sana, Dodoma is a place to invest. Thank you
  3. S

    Looking for business partner

    Dear Great thinkers, In respect to the above subject, I hereby look for the serious business partners who are interested in modern grapes' farming at Buigiri village, Chamwino Ikulu area, just opposite to CRDB saccos project. This is a serious venture for mutual benefits. In case you are...
  4. S

    Employer akikusimamisha kazi - Msaada

    Wana jamvi, Naomba kujuzwa iwapo employee anayo haki ya kuresign baada ya kuwa amesimamishwa kazi na mwajiri kwa sababu yoyote ile. Asante
  5. S

    Family planning na uhuni wa wazungu

    Miaka ya hivi karibuni (about three years back) kumekuwepo na funding nyingi sana katika miradi ya uzazi wa mpango kutoka kwa hao wanaojiita wadhili wetu. Miradi mingi ya uzazi wa mpango imepelekea hata kujitoa kwa wafadhili wengi katika funding za HIV/AIDS na Malaria. Hii ina maana kuwa watu...
Back
Top Bottom