Wanajamvi,
Rejea somo la habari hapo juu. Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 10 kwa milioni 10 tu. Lina hati ya kijiji, lipo maeneo ya chamwino Ikulu, karibu kabisa na barabara iendayo Dsm. Karibuni sana, Dodoma is a place to invest.
Thank you
Wauzie hao intarahamwe .

Usijali kuhusu neno Ikulu, hilo shamba lipo Buigiri village, hicho kijiji ndo kipo near Chamwino Ikulu villageHuwezi kuniuzia hyo ikulu hapo dodoma.